Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

Mjomba maneno gani ya kashfa unayoingea hata mjomba ni mama kwahyo wewe ni mama kuwa na huruma basi
 
Mtoe hapo nyumbani

Atakuletea mikosi tu
 
Mjomba maneno gani ya kashfa unayoingea hata mjomba ni mama kwahyo wewe ni mama kuwa na huruma basi
Kwani mpwa hujui unavyonipa changamoto? Wewe no ng'ombe nilikupeleka chuoni kukua! Rudi kwenu ukapambane na babako kijijini!πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani elfu 50K kwa week unakaa tu nyumbani unakula maishaa alafu uniambie nikafanye kazi nilipwe 75k si bora niendelee kulalaa nikisubiri mchongo wa maana maana hela ipo πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ Ukitaka aanze kazi chap USIMPE HATA 100 YA VOCHA ale na kulala bure tu.
 
Kwani mpwa hujui unavyonipa changamoto? Wewe no ng'ombe nilikupeleka chuoni kukua! Rudi kwenu ukapambane na babako kijijini![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjomba manjagata umekua na mama acha roho mbaya
 
Nilicho-expirience kwa sasa! Baadhi ya vijana hawataki kufanya kazi hasa wale ambao wanaishi kwa watu wenye uwezo kiuchumi.

Kwa jinsi maisha yalivyo kasi, habari ya mjini ni kutafuta hela tu, na si vinginevyo!

Ndugu kama hao wasikuumize kichwa na wala wasiwe chanzo cha kuacha kuwasaidia wengine.

Cha kufanya, mkamate kwa nguvu mpeleke huko kazini, kama kushindwa ashindwe mwenyewe. Hakuna kubembelezana. Kuna watu hujifunza kwa vitendo na siyo maneno.

Huko mbeleni akikaa miaka 5 bila kupata kazi serikalini ndio atakukumbuka.

Kwanza, umefanya kosa kubwa sana la kuwa unampa hela kila wiki. Hapo unamlemaza.

Kijana apewe nyavu akavue samaki, na siyo kumpa samaki.



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…