Mtafutaji Asiyechoka
Member
- Feb 15, 2021
- 77
- 90
Mshahara itategemea na kazi yenyewe na makubaliano na mwajiri, haiwezi kuwa fixedMshahara kiasi gani
Mbona nmeandka mkuu, miaka 23Umri ? Kwanz
Hataki kazi ngumu huendaVikindu kuna viwanda vingi
Kwanini asiende kwa wachina wa Yeboyebo?
kazi zile ni za kubahatisha sana, kila siku anazunguka viwandani huko lakini holaHataki kazi ngumu huenda
Uyo ndugu yako ni wewe mkuu[emoji23][emoji23]Habari wakuu!
Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata.
Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu wilayani mkuranga-pwani. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi naomba amsaidie.
namba yangu ya mawasiliano ni 0656208659 na namba yake ya mawasiliano ni 0757942975. Natanguliza shukrani.
kazi zile ni za kubahatisha sana, kila siku anazunguka viwandani huko lakini hola