Ndugu yangu Yeriko , hivi haibu hii unawapelekea mizim wako tena ,mizim itakuchoka.

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai

Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa Duniani, pumbavu
 
hakuna cha mizimu, yeriko yuko sahihi hao ni ccm ambao hawamtaki Mbowe, wanadhani Lisu watammudu
 
Hana mizimu wala haijui mizimu huyo.Yeriko is a conman!
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Kwa akili ya kawaida,unaweza kumdanganya mtu kwamba unammudu Lissu halafu Mbowe akakushinda?Acha vichekesho basi utatuua kwa kucheka.
Lisu ni makelele hajawahi fanikisha lolote......... CCM wao mbaya wao ni Mbowe na si Lisu
 
Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai

Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa Duniani, pumbavu
Dawa ni kuanzisha mgomo wa kununua vitabu vya Yericko Nyerere. Popote utapoona kitabu chake kichome moto.
 
Nashangaa kuona mtu mzima kabisa unaandika "HAIBU badala AIBU"

Mtoa post lazima utakuwa from ufipa street.
 
🤣🤣🤣🤣 Umenivunja mbavu .Ujasusi wa kidola na kiuchumi.Lile kabrasha ni zaidi ya kilo moja.
Kuna watu huwa maneno mengi ya kuzunguka. Ndiyo kajamaa kanachofanya hadi kanajaza mkitabu.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
hakuna cha mizimu, yeriko yuko sahihi hao ni ccm ambao hawamtaki Mbowe, wanadhani Lisu watammudu
CCM tunamtaka Mbowe. Angalia hata JF CCM wote wanamuunga mkono Mbowe. Hadi Kigwangala ana andika akimuunga mkono Mbowe. Akina Mwampamba, akina Tlatalaa wote wanamuunga mkono Mbowe. Mbowe ndo anafaa kuongoza Chadema. Lissu ni kama yule Simba samia alisema. Hafugiki na hatumtaki ni radical sana.
 
Back
Top Bottom