4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
hakuna cha mizimu, yeriko yuko sahihi hao ni ccm ambao hawamtaki Mbowe, wanadhani Lisu watammuduWakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai
Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa Duniani, pumbavu
Hana mizimu wala haijui mizimu huyo.Yeriko is a conman!Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai
Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa Duniani, pumbavu
Kwa akili ya kawaida,unaweza kumdanganya mtu kwamba unammudu Lissu halafu Mbowe akakushinda?Acha vichekesho basi utatuua kwa kucheka.hakuna cha mizimu, yeriko yuko sahihi hao ni ccm ambao hawamtaki Mbowe, wanadhani Lisu watammudu
Kajamaa kanijionaga ka genius🤣🤣Hana mizimu wala haijui mizimu huyo.Yeriko is a conman!
Lisu ni makelele hajawahi fanikisha lolote......... CCM wao mbaya wao ni Mbowe na si LisuKwa akili ya kawaida,unaweza kumdanganya mtu kwamba unammudu Lissu halafu Mbowe akakushinda?Acha vichekesho basi utatuua kwa kucheka.
Jitoe ufahamu.Kwa majibu zaidi muulize Kikwete.Lisu ni makelele hajawahi fanikisha lolote......... CCM wao mbaya wao ni Mbowe na si Lisu
Dawa ni kuanzisha mgomo wa kununua vitabu vya Yericko Nyerere. Popote utapoona kitabu chake kichome moto.Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai
Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa Duniani, pumbavu
Kanauza kitabu kwa uzito wa kilo badala ya maudhui yaliyomo ndani.Jamaa ni tapeli.Beware of a conman!Kajamaa kanijionaga ka genius🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Umenivunja mbavu .Ujasusi wa kidola na kiuchumi.Lile kabrasha ni zaidi ya kilo moja.Kanauza kitabu kwa uzito wa kilo badala ya maudhui yaliyomo ndani.Jamaa ni tapeli.Beware of a conman!
Ushauri wa post namba #8 hapo juu uzingatiwe ili kumuadabisha huyo mpuuzi.Kanauza kitabu kwa uzito wa kilo badala ya maudhui yaliyomo ndani.Jamaa ni tapeli.Beware of a conman!
Lugha ni kipaji.Nenda nao hivyohivyo tu.Nashangaa kuona mtu mzima kabisa unaandika "HAIBU badala AIBU"
Kuna watu huwa maneno mengi ya kuzunguka. Ndiyo kajamaa kanachofanya hadi kanajaza mkitabu.🤣🤣🤣🤣 Umenivunja mbavu .Ujasusi wa kidola na kiuchumi.Lile kabrasha ni zaidi ya kilo moja.
Huyu atakuwa alifundishwa darasa la awali na mwalimu mwenye smart phone.Lugha ni kipaji.Nenda nao hivyohivyo tu.
Athari za lugha mama na kukosa umakini wa kujifunza na kuandika kwa usahihi.Huyu atakuwa alifundishwa darasa la awali na mwalimu mwenye smart phone.
Mpumbavu huyu dogoDawa ni kuanzisha mgomo wa kununua vitabu vya Yericko Nyerere. Popote utapoona kitabu chake kichome moto.
CCM tunamtaka Mbowe. Angalia hata JF CCM wote wanamuunga mkono Mbowe. Hadi Kigwangala ana andika akimuunga mkono Mbowe. Akina Mwampamba, akina Tlatalaa wote wanamuunga mkono Mbowe. Mbowe ndo anafaa kuongoza Chadema. Lissu ni kama yule Simba samia alisema. Hafugiki na hatumtaki ni radical sana.hakuna cha mizimu, yeriko yuko sahihi hao ni ccm ambao hawamtaki Mbowe, wanadhani Lisu watammudu
Hapana ni uwezo mdogo wa mtu...eti HAIBU 🤣🤣Athari za lugha mama na kukosa umakini wa kujifunza na kuandika kwa usahihi.
Kikwete alisema ni bora Dr. Slaa awe Rais but not Lissu kurudi Bungeni. Mbowe wa sasa amekuwa mtu poa.Lisu ni makelele hajawahi fanikisha lolote......... CCM wao mbaya wao ni Mbowe na si Lisu