Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

Hiyo wahenga wanasema Usilalie mlango wazi bahati ya mwezio maana utaliwa na simba.
 
Ya kitambo sana kwa kweli! Yamewatoa ndugu zangu kadhaa, wamejenga mijengo na kununua magari ya maana kupitia hayo machimbo na sasa wanamiliki mashimo yao huko huko...
machimbo ya Mwakitolyo ni zamani kinoma, ila yamewatoa vijana wengi tuu, mjini usione vijana wanaendesha ma -range sport, BMW x6 new model, kaa ukijua wame hustle kweli kweli………………..
 
Katika kazi ngumu na hiyo ni moja wapo..pole kwa wafiwa!
 
Ya kitambo sana kwa kweli! Yamewatoa ndugu zangu kadhaa, wamejenga mijengo na kununua magari ya maana kupitia hayo machimbo na sasa wanamiliki mashimo yao huko huko...
Pesa ya dhahabu wanaopata ni wachache sana,shida haswa ni nini?
 
Pesa ya dhahabu wanaopata ni wachache sana,shida haswa ni nini?
Sio wanaopata ni wachache, ila wanaojua kuitumia kwenye akili ya kimaisha ni wachache sana, the reason behind ni ANASA zimetawala vichwani mwa wachimbaji, mchimbaji kuhonga 500k-1Ml kwa siku 1 tu kwake haoni shida na kingine kutumia imani za kishirikina katika uchimbaji kunawafanya vijana wachimbaji wengi kuzubaa akili kwa kutegemea makafara na upuuzi mwingine...
 
Back
Top Bottom