Ndugu yetu BAK amepotelea wapi humu JF?

Ndugu yetu BAK amepotelea wapi humu JF?

Bado ni prominent. Since contents zake zina exist. Hope wahusika watakuja na majibu. Why ukijaribu kumtag hatokei?
Maxence Melo please take note! Ukimtag hatokei why? Sidhani kama amepotezwa, ametekwa ameuawa... au bado ana ka woga wa awamu ya tno maana ilikuwa uwe makini na unachoandika....
 
Sasa hivi JF inaakisi Taifa zima na tabia zake.

Mwanzoni ilipoanza ilikuwa inaakisi kikundi kidogo cha "Elites" waliokuwa na access ya internet.

Halafu watu huja, na kutoweka kisha wakaja wengine. Kwa hiyo tutegemee kuona baadhi ya watu wakipotea/phasing out, kisha wakaja wengine mpaka tekinolojia mpya itakaporeplace JF
Well said! sasa hata mama ntilie anaweza access JF! It is only elites as you have put it,
Search post by forums, achana na option ya trending posts.

Pia unaweza ukasubscribe forums unazozipenda tu. Hapo notifications zako zitajaa habari za hizo forums tu, na sio kila new post
 
Maxence Melo please take note! Ukimtag hatokei why? Sidhani kama amepotezwa, ametekwa ameuawa... au bado ana ka woga wa awamu ya tno maana ilikuwa uwe makini na unachoandika....
Alikuwa active mpaka mwishoni mwa 2021. Hiyo kumtag hatokei, ni kitu ambacho JF inabidi ikitolee ufafanuzi
 
Search post by forums, achana na option ya trending posts.

Pia unaweza ukasubscribe forums unazozipenda tu. Hapo notifications zako zitajaa habari za hizo forums tu, na sio kila new post
This makes the best option!
 
.......memba wengi humu hawaonekani, ingawa kuna memba humu wanafahamiana hata Kwa sura, lakini huwa hawatoi taarifa za watu wanaopotea.....nadhani ni makubaliano kuwa urafiki uishie nyuma ya keyboard ndo mana memba wanaopotea bila hata tetesi kujulikana wapo wapi.....Kwa mfano taarifa nilizowahi kuziona za misiba humu hazizidi tatu toka niifahamu jf ........
 
Hata kama hazijaja afe tu huko aliko hana faida.
.......duuu mkuu inaonekana una roho ngumu, kwamba hujali chochote, huyo jamaa alikua ni moja ya memba wenye mchango mkubwa sana kipindi hicho, watu wamemkumbuka tu wangependa kujua Yu wapi........
 
Back
Top Bottom