Ndugu yetu BAK amepotelea wapi humu JF?

Ndugu yetu BAK amepotelea wapi humu JF?

Roho ngumu kama yake kwa JPM. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
.......duuu mkuu inaonekana una roho ngumu, kwamba hujali chochote, huyo jamaa alikua ni moja ya memba wenye mchango mkubwa sana kipindi hicho, watu wamemkumbuka tu wangependa kujua Yu wapi........
 
Mi nadhani ni jambo la ajabu kumuulizia mtu usiye mfahamu, tena especially kwa JF ambapo tunatumia IDs za kificho.

Maana yake inawezekana mtu ameshakufa au yupo busy na mambo yake of whichi hilo ni jambo ambalo you cannot control.
 
JF haijapoteza mvuto, still members wanajiunga kila uchwao.

Uwepo wa majukwaa ya nyanja tofauti, lengo ni kupokea habari tofauti kutoka Kwa watu tofauti, wenye haiba tofauti.

JF kuwa home of great thinkers, haimaanishi zijadiliwe rocket sciences tupu humu.

JF where we dare to talk openly, means tell us what u feel, na sio kuwa forced by others. Humu JF kuna majukwaa ukiamua kabisa usione post zake, unaweza. So, kubali kuwa interest za watu zipo tofauti, alaf jaribu kuendana nao.

Tukirudi kwenye issue ya BAK, I'd yake hata ukijaribu kuitag haitokei, ni kama vile mtu aliyepigwa ban, ila hajapigwa ban. Ukituma advanced search unampata. Hayupo active since 2021. Labda Maxence Melo na Moderator eatoe ufafanuzi kuhusu hii ID
Pale Kariakoo nyanya mbovu hutupwa lakini watu wanaziokota na kuziuza nje ya soko hilohilo na zinanunulika!
 
Mi nadhani ni jambo la ajabu kumuulizia mtu usiye mfahamu, tena especially kwa JF ambapo tunatumia IDs za kificho.

Maana yake inawezekana mtu ameshakufa au yupo busy na mambo yake of whichi hilo ni jambo ambalo you cannot control.

Hata aliyepotea na kina Ben, Azory au Lijenje huona ni jambo la ajabu kuwaulizia. Kimsingi wangependa mno tusiwe tunawaulizia wowote wanaopotea.

Hiiiiiiiii bagosha!
 
Nilimkumbuka kipindi cha nyuma nikam-PM mpaka leo sijamsikia, hope all is well with him au yuko JF na ID nyingine ama amepumzika kuingia JF. All in all Bubu Ataka Kusema nimemmiss pia tumekuwa online buddies toka Jambo forums.
 
Back
Top Bottom