Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,457
Reaction score
5,893
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
 
Ashakwisha huyo mkuu,wenzake kina Stephen Curry wanadunda tu tangia 2009 wapo NBA.

Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
 
Ngoja tuone lakini jamaa alichezea shilingi chooni ikadumbukia,michezo kama hiyo inahitaji mazoezi sana sasa yeye mda mwingi alikuwa anashinda clubs TZ mara kapigana na TID,Kugegeda hovyo na kina jokate,mda mwingi anashinda kwenye vituo vya redio na TV,ajifunze ingawa nina imani alishafika Peak yake huyo mtu.
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks..ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA .. wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia si ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye .. .all the best Mtanzania mwenzetu!..UZALENDO KWANZA!
Wenye hekima walisema ukiwa nyota kiwango kilekile cha sifa unazopewa unapofanya vizuri kitakua Sawa na kiwango cha lawama/matusi ukivurunda.
Ila sisi waswahili tunataka kusifiana tuu hata kama hamna cha kusifu
 
Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
Binafsi swala la misingi sioni kama ni sababu.Hakuibuka tu ghafla kufika alipofika.alicheza high school,akacheza college miaka mitatu na Alianza kucheza huku na kina Kidume hapo kabla.He just lost focus along the way.Hasheem wa NCCA alikua monster kwenye kulinda rim ile.He was destined to succed,but shit happened.Namuombea atoboe this time na sisi tuwe na staa NBA
 
Tumuombee kila la kheri ndugu yetu huyu

Back
Top Bottom