inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
kwani akina curry hawagegedi,mbona mnatafutaga majibu kwa mambo msiyoyajua!?...akina oneal,jordan hawakuwa wakigegeda?..mtu yupo likizo asipumzike?Ngoja tuone lakini jamaa alichezea shilingi chooni ikadumbukia,michezo kama hiyo inahitaji mazoezi sana sasa yeye mda mwingi alikuwa anashinda clubs TZ mara kapigana na TID,Kugegeda hovyo na kina jokate,mda mwingi anashinda kwenye vituo vya redio na TV,ajifunze ingawa nina imani alishafika Peak yake huyo mtu.