Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili mwenye kiwango hovyo anachezaje NBA? hujui kuwa kuna wamarekani kibao wana ndoto ya kufika hapo alipo huyo Mtanzania na wanashindwa kufika? ..
Pumbavu wewe!
Kati ya wachezaji 450 wanaocheza NBA karibia half ni scrubs pumbavu wewe!
Hasheem Thabeet ni bust na ni bum na ni scrub!
Sio eti ukiwa kwenye NBA wewe ni una kiwango mwehu wewe!HT ni kwa ajili ya rebound full stop,na zenyewe ni za kiwango duni mno ambapo guard mfupi kabisa kama Isaia Thomas anazo nyingi zaidi yake mara 2!
Infact ni kwa ajili ya height na kurusha mikono kuleta obstructions na deflections za offenses zinazokuja na wala sio actual basketball skills!
He is a bonafide scrub tena kwa number 2 pick!
Full of shit!
Curry si mtu wa kumfananisha na Thabeet.Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
Curry si mtu wa kumfananisha na Thabeet.
Curry anatoka kwenye familia ya NBA. Baba yake alicheza NBA. Kuna ndugu yake nafikiri ni mdogo wake yule, naye anacheza NBA.
Sasa huyo si mtu wa kumfananisha na Thabeet ambaye kajua basketball ukubwani.
Yani hata support system ya Curry ametengenezewa tangu mdogo, Thabeet kahangaika kutafuta safari tunamuona, hata baada ya kufika US tumemuona kahangaika sana, mpaka kufika UConn mtu mkubwa kabisa ndiyo akawa na support system ya kueleweka.
Na hata hapo kuja kujua power moves za kina Curry si kitu ambacho muhamiaji kutoka Tanzania atajua mara moja tu.
Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
Hashimu tumemuona anakua Sinza, kina Adamu wanamuambia wewe mwili huo kacheze basketball, Hashimu hapo hata hajui basketball ni nini.Thanks na hiki ndicho ambacho wengi hawataki kukikubali sijui kwa background yake hasheem walitaka afanye miujiza gani
Basi tufanye wewe unajua kikapu kuliko Hasheem!! Sttupid!
Tufanye wewe hujui kikapu kama mimi!
You are stupid too!
Akikaa NBA ni 10 days max!
Roy Hibbert diffensive player of the year hajapata mkataba ndio nonsense Hasheem adumu NBA?
Fvck outta here!
Y’all motherfvckers are clueless!
So dumb like morning doodoo!
alishauriwa na aliyempeleka kule na wajuzi wengine..wabongo na kikapu wapi na wapiSasa kama hawana utaalamu alipokuwa hayuko tayari kucheza NBA na wakamwambia akae chuo at least mwaka mmoja zaidi ili aboreshe uchezaji wake mbona aliwasikiliza?
Hili la Hasheem humu tulilijadili kwa kina na mapana akiwa chuoni, NBA na hata kuhusu anguko lake pia.
alishauriwa na aliyempeleka kule na wajuzi wengine..wabongo na kikapu wapi na wapi
Ni kweli habari yenyewe imekaa kama imetengenezwa nyumbani,ok,nimeikuta sehemu hii hapa https://www.msn.com/en-us/sports/nba/hasheem-thabeet-to-work-out-for-bucks/ar-AAFDH8Q ...
We chokko kweli kwa hiyo Thabeet akikaa NBA in 10 days ndio wewe unapata hasira? .. kacheze wewe sasa kwa siki 1000 na mattako yako makubwa!! .. haf usinizingue we falla mabishano ya kibwege bwegge nimeshaacha ujue!!
We chokko kweli kwa hiyo Thabeet akikaa NBA in 10 days ndio wewe unapata hasira? .. kacheze wewe sasa kwa siki 1000 na mattako yako makubwa!! .. haf usinizingue we falla mabishano ya kibwege bwegge nimeshaacha ujue!!
We chokko kweli kwa hiyo Thabeet akikaa NBA in 10 days ndio wewe unapata hasira? .. kacheze wewe sasa kwa siki 1000 na mattako yako makubwa!! .. haf usinizingue we falla mabishano ya kibwege bwegge nimeshaacha ujue!!
Wanagegeda vizuri tu ila wakiwa free/mapumziko sasa TOLU wako mda wote yeye yupo DIZIMU wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi ya Kufa MTU,Yeye yupo buzy kuzunguka na kina jokate na kupigana na kina TID.kwani akina curry hawagegedi,mbona mnatafutaga majibu kwa mambo msiyoyajua!?...akina oneal,jordan hawakuwa wakigegeda?..mtu yupo likizo asipumzike?