kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
- Thread starter
- #101
Uzalendo kwanza au Uwezo kwanza???????????????
Wewe unachagua kipi kati ya hivyo viwili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo kwanza au Uwezo kwanza???????????????
Hii sababu Ina ukweli? Naona inatumika Sana Kama fimbo ya kumponda Mtz mwenzetu.
Mtu mweusi ni mtu wa ajabu sana. Mwenyewe tunacheza wote kigilagila stars af eti unasema huko japan kashindwa kwenda sijui ligi gani...yani suala yeye kuwa ligi ya huko tu ni hatua kubwa sana. Wewe mwenzangu unayejifanya mshauri umeishia wapi katika safari yako...utasingizia kazi na shule. Kila mtu anauwezo wake na kiwango chake na sio wote wakali watacheza NBA. sio bahari ile kwamba kila meli inapita. Kongole Hasheem kwa struggle zote na popote utakapokuwepo.
www.talkbasket.net
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?
Binafsi swala la misingi sioni kama ni sababu.Hakuibuka tu ghafla kufika alipofika.alicheza high school,akacheza college miaka mitatu na Alianza kucheza huku na kina Kidume hapo kabla.He just lost focus along the way.Hasheem wa NCCA alikua monster kwenye kulinda rim ile.He was destined to succed,but shit happened.Namuombea atoboe this time na sisi tuwe na staa NBA
Unaushahidi bob. Maana jiandae kuitwa majina yote mabaya na wananzengo.Jamaa yenu kama kawaida yupo DAR na kina JOKATE tena,nilidhani atakuwa kajichimbia huko kwa Trump anajifua akienda kwenye interview huko BUCKs iwe imoooooo asepe na kijiji chote.
Jamaa yenu kama kawaida yupo DAR na kina JOKATE tena,nilidhani atakuwa kajichimbia huko kwa Trump anajifua akienda kwenye interview huko BUCKs iwe imoooooo asepe na kijiji chote.
View attachment 1185597
Hasheem 2009 alikuwa Hot sana,Siwezi kumsahau huu jamaa alinipa mzuka sana wa kufight/kukaza/ku_hustle,Nakumbuka alipochaguliwa tu 2nd draft na kuanza kula mashavu,alipotinga bongo tu Clouds wakamdaka XXL akafanya interview ,kisha akachagua wimbo Jeremiah - Imma Star ndio ulikuwa hot sana,baada ya mda nikamuona Mlimani City akiwa na Vogue Lake Jeusi yaani nilikuwa namkubali sana,alituweka TZ kwenye ramani,nilikuja kumtoa maana baada ya kulewa sifa.Unaushahidi bob. Maana jiandae kuitwa majina yote mabaya na wananzengo.
Chief Hahahaaaaa TOLU kaja kwasababu ya JOJO tu hana lolote,usikute hii picha kapiga TOLU.Hahaha jamaa yupo kutoa support kwenye program ya Giants of Africa...
Paschal Siakam (NBA champ with Raptors) did the same when Masai & co payed a visit in Cameroon...
hahahahahahaWe mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?
Why Hashim "Hasheem Thabeet" had a downfall career with Grizzlies, timu yake ya kwanza kabisa NBA...
Y'all should read this...
https://bealestreetbears.com/2019/01/17/memphis-grizzlies-tony-allen-hasheem-thabeet/
Duuh halafu kweli asee! Hii picha si ya jana[emoji849][emoji849]??Jamaa yenu kama kawaida yupo DAR na kina JOKATE tena,nilidhani atakuwa kajichimbia huko kwa Trump anajifua akienda kwenye interview huko BUCKs iwe imoooooo asepe na kijiji chote.
View attachment 1185597
Chief Hahahaaaaa TOLU kaja kwasababu ya JOJO tu hana lolote,usikute hii picha kapiga TOLU.
View attachment 1185612