SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Huyu Hasheem hawezi rudi NBA watu wanajipa moto tu hapa
Bado ana nafasi kwa kuwa umri pia haujaenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Hasheem hawezi rudi NBA watu wanajipa moto tu hapa
Kaka acha kulaumu kwa kuporomoka kwa Hashimu,kaporomoka sababu ya ushamba na ulimbukeni wake,hata akirudi sasa hawezi kufikia kiwango alichokuwa nacho mwanzo.Wenzake wakati wanafanya mazoezi na kujifua yeye alikuwa anakuja Bongo kujishoo na kuwabemenda akina nanii,alishauriwa wee lakini wapi,ok wale aliokuwa akila nao bata na wengine aliokuwa anawabemenda wameshamkimbia,,Hashimu kawa past tense kwa sasa kwisha habari yake,hata Watz wenzake walioko US wanamcheka kwa kushindwa kutumia nafasi aliyopata,sasa anarudi kulalal geto badala ya ya mahoteli ya kitalii. Nafasi haiji mara mbili ,jua pia umri unasonga.Tunamtakia kila la kheri ,lakini ukweli utabaki paleplae kuwa alichezea bahati akidhani atabaki vilevile.Wabongo wa US ambao ndio wanamjua kindakindaki wanamcheka. Kujifunzia ukubwani sio tatizo lakini ni mtu kujua unatakiwa kufanya nini,wa kulaumiwa ni yeye mwenyewe,kuwalaumu Watanzania ni kuwaonea tu. Kwa sasa nadhani atakuwa amejifunza ingawa ni too late.Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Kaka acha kulaumu kwa kuporomoka kwa Hashimu,kaporomoka sababu ya ushamba na ulimbukeni wake,hata akirudi sasa hawezi kufikia kiwango alichokuwa nacho mwanzo.Wenzake wakati wanafanya mazoezi na kujifua yeye alikuwa anakuja Bongo kujishoo na kuwabemenda akina nanii,alishauriwa wee lakini wapi,ok wale aliokuwa akila nao bata na wengine aliokuwa anawabemenda wameshamkimbia,,Hashimu kawa past tense kwa sasa kwisha habari yake,hata Watz wenzake walioko US wanamcheka kwa kushindwa kutumia nafasi aliyopata,sasa anarudi kulalal geto badala ya ya mahoteli ya kitalii. Nafasi haiji mara mbili ,jua pia umri unasonga.Tunamtakia kila la kheri ,lakini ukweli utabaki paleplae kuwa alichezea bahati akidhani atabaki vilevile.Wabongo wa US ambao ndio wanamjua kindakindaki wanamcheka. Kujifunzia ukubwani sio tatizo lakini ni mtu kujua unatakiwa kufanya nini,wa kulaumiwa ni yeye mwenyewe,kuwalaumu Watanzania ni kuwaonea tu. Kwa sasa nadhani atakuwa amejifunza ingawa ni too late.
WaTZ hatupendi kuambiwa Ukweli kwasababu tuna UNAFIKI wa Kiwango cha ESIJIARA,huu ndio ukweli,Hasheem Thabeet alichezea BAHATI,2009 ndio ilikuwa Peak yake mpaka kuwa 2nd Pick-2009 NBA Draft na kuwapita kina Stephen Curry,Wenzake ni Mabilionea kwasasa,SHow-off kibao bila kutambua kwamba wabongo WANAFIKI,Hasheem wa Dodoma muuza karanga/ubuyu hakumbuki alipotoka baada ya kukutana na minungayembe ya mjini yenye kujua kumkamua mtu kwa kasi ya "BOMBADYEEEE KYU FO HANDRIREDI".Kaka acha kulaumu kwa kuporomoka kwa Hashimu,kaporomoka sababu ya ushamba na ulimbukeni wake,hata akirudi sasa hawezi kufikia kiwango alichokuwa nacho mwanzo.Wenzake wakati wanafanya mazoezi na kujifua yeye alikuwa anakuja Bongo kujishoo na kuwabemenda akina nanii,alishauriwa wee lakini wapi,ok wale aliokuwa akila nao bata na wengine aliokuwa anawabemenda wameshamkimbia,,Hashimu kawa past tense kwa sasa kwisha habari yake,hata Watz wenzake walioko US wanamcheka kwa kushindwa kutumia nafasi aliyopata,sasa anarudi kulalal geto badala ya ya mahoteli ya kitalii. Nafasi haiji mara mbili ,jua pia umri unasonga.Tunamtakia kila la kheri ,lakini ukweli utabaki paleplae kuwa alichezea bahati akidhani atabaki vilevile.Wabongo wa US ambao ndio wanamjua kindakindaki wanamcheka. Kujifunzia ukubwani sio tatizo lakini ni mtu kujua unatakiwa kufanya nini,wa kulaumiwa ni yeye mwenyewe,kuwalaumu Watanzania ni kuwaonea tu. Kwa sasa nadhani atakuwa amejifunza ingawa ni too late.
![]()
Lakers rumors: Hasheem Thabeet may be among possible DeMarcus Cousins replacement options
Former NBA big man Hasheem Thabeet is on the comeback trail and could soon be working out for the Los Angeles Lakers to fill DeMarcus Cousins' void.www.monstersandcritics.com
Well said bro,hapa umeongea hasa sina cha kuongeza.WaTZ hatupendi kuambiwa Ukweli kwasababu tuna UNAFIKI wa Kiwango cha ESIJIARA,huu ndio ukweli,Hasheem Thabeet alichezea BAHATI,2009 ndio ilikuwa Peak yake mpaka kuwa 2nd Pick-2009 NBA Draft na kuwapita kina Stephen Curry,Wenzake ni Mabilionea kwasasa,SHow-off kibao bila kutambua kwamba wabongo WANAFIKI,Hasheem wa Dodoma muuza karanga/ubuyu hakumbuki alipotoka baada ya kukutana na minungayembe ya mjini yenye kujua kumkamua mtu kwa kasi ya "BOMBADYEEEE KYU FO HANDRIREDI".
Aliendekeza Starehe sana badala ya kufanya mazoezi kwa bidii,kutoka kuingiza Mabilioni kwa mwaka mpaka sasa kuishi kwa kuunga unga,mbwembwe zote za Hummer/Vogue zimekwisha kwasasa anatembelea nyota yake tu ya zamani kwamba alishawahi kucheza ligi ya NBA.
UMepata 2nd chance jikite zaidi kwenye mazoezi hayo mambo ya kuja bongo kukutana na kina JOKATE kwa mgogngo wa giant of africa yanakupotezea muda,jifiche chimbo,kaa chini na washikaji wa NBA wakupe new tacticts na kujifunza sana ili ukienda kwenye interview uweze kupita,All The best.
View attachment 1188711
nafikiri amejifunza mengi hatafanya kosa tena kwa muda wote aliokaa nje ya NBA bado ana nafasi
😂 😂 😂 😂 😂 😂We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?
Back ground yake imemuumiza hasa kwakuwa alikuwa hakujiandaa kisaikolojia.. Simlaumu kwa hilo...
Alipotaka kujiunga na NBA alitumia juhudi kubwa sana hadi akawa 2rd select... Akaingia NBA kwa kishindo..
Akawa overwhelmed na u-celebrity na pesa na heshima aliyopewa na akina JK...
Akawa mvivu-est kwenye mazoezi na kutofuata maelekezo ya makocha... Ndio kudondoka kwake.
Yuko kocha aliwahi kumwita "the most laziest..." .... Kimsingi alijisahau ....
Kuna siku watz walimlaumu kushindwa kwake akajibu... why worried.. am getting the same pay check
Simlaumu wala kumcheka kwakuwa we all do mistakes .... Labda alichanganyikiwa kwa pesa nene, heshima na kuwa juu ghafla (akupanga toka utotoni).... From none to billionaire.. Zero to hero etc.
Mpaka sasa possibly hata yeye hajilaumu sana kwakuwa kakosa NBA ila hado anatesa Asia huko.
Nitafurahi kama kaamua kujituma tena na kurudi NBA... Ninamuombea sana..
Watz wote tungekuwa na juhudi bila kujisahau basi wote tungekuwa mbali sana kimaisha.. Tusihukumu.. Tuombeane
Ulichoandika ni sahihi kbs ndugu.. sio kulaumu tu wakati hakuna Mtanzania hata mmoja aliyejaribu kufika hata robo ya mafanikio ya Haseem ingawa timu za kikapu zipo ligi zipo na viongozi wake wapo hapa nchini! tumpe heshima yake tu jamaa ukweli makosa yake yanatokana na background yake tu ..
Background gani?
Wa pili toka kulia Lusajo Mwaisaka.....Block Monster!
Wa pili toka kulia Lusajo Mwaisaka.....Block Monster!
Wewe unajua aina ngapi za background?
You can spot Hasheemthedream from there.
Hii picha imepostiwa kwenye officialpage ya nyknicks like two days ago. Tuendelee kumuombea kijana wetu inaonekana mambo sio mabaya sana.
Nimecheki comments kumbe wamarekani nao majungu kibao kama wabongo tu.View attachment 1193744
You can spot Hasheemthedream from there.
Hii picha imepostiwa kwenye officialpage ya nyknicks like two days ago. Tuendelee kumuombea kijana wetu inaonekana mambo sio mabaya sana.
Nimecheki comments kumbe wamarekani nao majungu kibao kama wabongo tu.View attachment 1193744