Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Sipokei hata kitu mkuu lakini sijawahi kuyachezea maisha yangu. Yaani kwa kifupi I've no regrets.. I've got everything that a kid on your block is starving to get.

Sasa ushawahi kujiuliza huyo jamaa anavyomwaga chozi akimuona Steph Curry, James Harden, Blake Griffin and the likes.. Unafikiri hajutii ujinga alioufanya wa kuja kupiga watu mitama.

Look now, even a lady he dumped (Jokate) is now bigger than him. Has a respected career while ye bado anakimbilia uzeeni anatafuta second chance ya kucheza NBA.

Nasikia sasa mamake ashamwamisha Masaki kamrudisha Sinza. Isn't that a downfall??
Ina maana hata vigorofa hakujenga..
mitaji vp hana!!?
 
Basi sawa amesanda amefulia

Mko happy sasa? Mana mmemchambua as if hio hela yake ni nyie mlikua mnampa

Haumii mwenye aliyefilisika, mnaumia nyie

Tujifunze to mind our own business

Na sisi tutafute hata kupata laki 2 kwa mwezi, kusubiri mtu aanguke ndio muanze kua counselors na maushauri nasaha kibao haina maana, maana mwisho wa siku ni PESA yake na maisha yake. Na pia ukisema watanzania wanafiki tumia neno "sisi", sema sisi watanzania wanafiki , sababu nina uhakika kabisa akianza kulipwa bilioni 10 kwa mwaka tena, mtakuja kumpa sifa kibao na kusema kwamba nyie ndio mmemfanya alipwe pesa nyingi sababu ya ushauri na saha zenu
Watanzania wanafki sana mkuu.. Na lazima tumseme ili akitokea mwingine akifika kwenye hiyo chance asiichezee.

Hata hawa akina Samatta wanachukua hili somo ndio maana tunawaona hawafanyi mzaha mzaha huko waliko.. Tukiendelea kuchekeana eti ni struggle zake ndio zimemfikisha pale kwahiyo tukae kimya ni ujinga. NBA is bigger that personal self, yule alibeba identity ya nchi. Tumeshawahi kujiuliza kama angekuwa Star level za kina Curry Tanzania tungenufaikaje? Kwa profile yake je tusingeongeza idadi wa utalii? Idadi ya watu watakayoijua nchi yetu? Je asingeweza shawishi collage mbalimbali kuja kusaka vipaji vingine huku kwetu? Ajira ngapi angeweza tengeneza hapa nyumbani na hata huko nje kupitia basketball players wa hapa nyumbani? Pesa ngapi ange inject hapa nchini? Je asingesaidia communities kama wafanyavyo wenzake??

Tukiyaangalia haya yote hatutaweza kuchekeana chekeana na lazima kwa uzembe alofanya asemwe tu ili wakitokea wengine wajifunze..
 
Hiyo pesa yake ingeweza kumsaidia hadi bibi yako kijijini..

Tafuta akina Mutombo, Serge Ibaka na wengine wengi wanayoyafanya kwa nchi zao kupitia hiyo NBA. Mutombo ameenda mbali zaidi na kuhakikisha Africa inakuwa na ligi yake kama NBA na mwaka huu inaanza.

Mkuu acha ubinafsi, eti pesa ni yake. Hivi unafikiri huko US alifikaje fikaje kama sio kuna watu walimsaidia nyuma yake. Naye alikuwa na wajibu wa kusaidia wengine akachezea nafasi. Sasa acha asemwe liwe somo.

Na NBA hawezi kurudi. Mtu yuko G-league huko anacheza na vinyozi na plumbers unaota alipwe billion 10 tena??
 
Hahahahaaaa yaani mie naweza bet hata milioni 50 na mtu aweke JIWE kwamba Hasheem Thabeet hawezi rudi NBA hata kwa mitishamba....liwe funzo kwetu sote ukipata chance hakuna kuiachia...unakaza tu mwanzo mwenga kama kina Stephen Curry..........Kila akikukuruka anadondokea PUA 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
 
Hehehehehe mi walivyoanzisha huu uzi nilikuwa nawachora tu..

Steph anakunja Billion 80 kwa mwaka hapo bado commercial deals. Daaah
 
Point yangu ndio ile Ile...pesa yake isingemsaidia bibi yangu na haitomsaidia,
Narudia kusema pesa ni yake, na maisha yake, wewe ni nani kumpa ushauri nasaha? Who are you ...take a grip , hahaha, naona mmekalia ushauri nasaha kama vile mameneja wake, Tanzanians should mind your own damn business, pesa yake ni yake, sio ya watanzania, na washauri nasaha wa maisha yake binafsi kama wewe, hata tajiri Mo alisema juzi kua watanzania hawapendi kusoma kuongeza maarifa, but wazuri sana kufuatilia umbeya, na kukosoa maisha ya wengine, hao unawaowatolea mfano ni wao, wameamua hivyo, ya hasheem muachieni yeye aamue atakachofanya yeye .....get a grip boy !!! This life ain't shit when minding other people's businesses...
Hiyo pesa yake ingeweza kumsaidia hadi bibi yako kijijini..

Tafuta akina Mutombo, Serge Ibaka na wengine wengi wanayoyafanya kwa nchi zao kupitia hiyo NBA. Mutombo ameenda mbali zaidi na kuhakikisha Africa inakuwa na ligi yake kama NBA na mwaka huu inaanza.

Mkuu acha ubinafsi, eti pesa ni yake. Hivi unafikiri huko US alifikaje fikaje kama sio kuna watu walimsaidia nyuma yake. Naye alikuwa na wajibu wa kusaidia wengine akachezea nafasi. Sasa acha asemwe liwe somo.

Na NBA hawezi kurudi. Mtu yuko G-league huko anacheza na vinyozi na plumbers unaota alipwe billion 10 tena??
 
Unawachora sababu ndio maisha yako kufuatilia maisha ya wengine ...basi ngoja akae tu ili mseme zaidi ..
Mnasubiri hata afe then mje kusema kwamba mlimuambia na mtoe RIP za kinafiki
Hehehehehe mi walivyoanzisha huu uzi nilikuwa nawachora tu..

Steph anakunja Billion 80 kwa mwaka hapo bado commercial deals. Daaah
 
Unawachora sababu ndio maisha yako kufuatilia maisha ya wengine ...basi ngoja akae tu ili mseme zaidi ..
Mnasubiri hata afe then mje kusema kwamba mlimuambia na mtoe RIP za kinafiki
Unaumia sana Mzee?? Hehehe kula matembele na mama hapo Sinza.

Vipi bro hata camera hakutumiagi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania wanafki sana mkuu.. Na lazima tumseme ili akitokea mwingine akifika kwenye hiyo chance asiichezee.

Hata hawa akina Samatta wanachukua hili somo ndio maana tunawaona hawafanyi mzaha mzaha huko waliko.. Tukiendelea kuchekeana eti ni struggle zake ndio zimemfikisha pale kwahiyo tukae kimya ni ujinga. NBA is bigger that personal self, yule alibeba identity ya nchi. Tumeshawahi kujiuliza kama angekuwa Star level za kina Curry Tanzania tungenufaikaje? Kwa profile yake je tusingeongeza idadi wa utalii? Idadi ya watu watakayoijua nchi yetu? Je asingeweza shawishi collage mbalimbali kuja kusaka vipaji vingine huku kwetu? Ajira ngapi angeweza tengeneza hapa nyumbani na hata huko nje kupitia basketball players wa hapa nyumbani? Pesa ngapi ange inject hapa nchini? Je asingesaidia communities kama wafanyavyo wenzake??

Tukiyaangalia haya yote hatutaweza kuchekeana chekeana na lazima kwa uzembe alofanya asemwe tu ili wakitokea wengine wajifunze..

Sijui umeandika upuuzi gani? Yaani HASHEEM apambane kivyake bila support ya.nchi then we umekaa unatarajia jasho lake lilete matunda kwa kwa nchi na kizazi.chako? Yaani seriously unakasirika? .. tufanye yeye amefikia hapo then you take it to the next level!! Simple!!
 
Hii picha inaongea vitu vingi sana.
images (7).jpeg

So sad yaani sasa hivi russell westbrook,Kevin Durant na James Harden wote wapo on fire.
😔😔😔😔😔
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Hello..!
 
But rebounds ukizipata na kuzitumia vizuri unashinda game kirahisi tu.
Hashim is a bust!! Bahati haiji mara 2. Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu amekuwa akifanya work outs na timu kadhaa kama Knicks na Bucks lakini hawakumuina kama anawafaa. Finally amepata usajili kwenye timu ya Mad Ants inayoshirili G-League. Mad Ants ni timu ndogo ya Indiana Pacers. Amekuwa anafeli kupata timu kubwa kwa vile sasa hivi NBA timu zinataka bigmen wanaofunga nje ya eneo la D. Skills za Hashim ziko limited kwenye defence tu, blocking and rebounding.

Mshahara kwa mwaka kwenye Mad Ants ni kati ya USD 35,000 na 106,000.
 
Mkuu hiyo ligi itahusisha vilabu kutoka kwe nchi ama taifa kama taifa. Na itahusisha timu ngapi pia mda wa kuanza tafadhali
Hiyo pesa yake ingeweza kumsaidia hadi bibi yako kijijini..

Tafuta akina Mutombo, Serge Ibaka na wengine wengi wanayoyafanya kwa nchi zao kupitia hiyo NBA. Mutombo ameenda mbali zaidi na kuhakikisha Africa inakuwa na ligi yake kama NBA na mwaka huu inaanza.

Mkuu acha ubinafsi, eti pesa ni yake. Hivi unafikiri huko US alifikaje fikaje kama sio kuna watu walimsaidia nyuma yake. Naye alikuwa na wajibu wa kusaidia wengine akachezea nafasi. Sasa acha asemwe liwe somo.

Na NBA hawezi kurudi. Mtu yuko G-league huko anacheza na vinyozi na plumbers unaota alipwe billion 10 tena??
 
Mkuu hii GSW msimu huu wamekuwa kama malaya, leo alfajiri Blazers yangu itajipigia tu vile itakavyo. Namuona Lillard akitupia zaidi ya pointi 35.
Tafuta story za kina Pascal Siakam na Joel Embiid uje useme wana tofauti gani na Hashim (Hasheem).
 
Back
Top Bottom