Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Mazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.

Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
 
Hahahaa we jamaa inaonyesha Hasheem amekukera sana kwa kitendo alicho fanya. Ila kikubwa ni juhudi, ajitume sana maana Mungu si Athuman mwaka kesho kutakuwa na draft so akikaza anaweza chaguliwa.
Ni Rahisi sana kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Hasheem Thabeet kurudi kucheza NBA.
 
Basi Marekani mabilionea ni wengi mno. Hebu nichekie jamaa mmoja anaitwa Damian Lillard nijue anaweka kiasi gani kwa mwaka

Alianza na hela ndogo kuliko ya Hasheem lakini sasa anakula mpunga mara 7 ya hashim zaidi ya bil 70 kwa mwaka.
DL.jpg
 
Mazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.

Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
TOLU Akimuona Steph anatamani kulia.
 
Watu wanajidanganya. Yule hata akienda morna bar ya croatia hapati namba. Wenzake wajanja wakiona upepo umekaza NBA wanakimbilia ulaya watambe hata Euroleague ili warudi Nba. Ulaya kipindi hiki wanaanza kukipa kipaumbele kikapu. Marekani ni kugumu hao maMVP wenyewe hawachukui back 2 back kama wakina messi na Cr7 kwenye football.
 
Dah! Umenikumbusha ligi yangu pedwa baada ya NBA. Euroleague kuna timu kama CSKA Moscow, Anadolu, Real Madrid, Barcelona nakadhalika aisee hizo timu ni ngumu balaa.

vipi linaweza likafikia ile hadhi kama ya like la tiko tiko mzee wa kugawa kifusi bure??
Jumba la tuko kwa nje ovyo ila Ndani balaa
Nlikuwaga naendaga kubeba kifusi Pala si aliweka bango TUNAGAWA KIFUSI BURE
sasa ilikuwa kila nkila timing kuzama Ndani ya nyumba kna mlinzi alikuwa ananiwekea password
Sasa kna jamaa mmja baharia alikuwa anaishi nje akanipa code.... Kuwapa code nkaingiaga Ndani mule ilikuwa balaa utafikiri nyumba za kina cashmoney wa USA, kulikuwa na midogi hatari hizo ndiga Sasa

Ova
 
Hata hapo alipo sasa si haba. Nakumbuka akiwa Charlie alikuwa akipanda lift pale kitegauchumi, akielekea clouds FM. Hali yake ya kipindi kile na ya sasa inautofauti wa mbingu na ardhi. Mafanikio aliyofikia anahitaji kupongezwa si kidogo!
NI kweli alipopata mafanikio 2009 -2011 tulimpongeza ila kwa sasa "Anatembelea Rims" lazima tumwambie kwamba alisahau kuchukua "Mguu wa jini".
 
Dah! Umenikumbusha ligi yangu pedwa baada ya NBA. Euroleague kuna timu kama CSKA Moscow, Anadolu, Real Madrid, Barcelona nakadhalika aisee hizo timu ni ngumu balaa.
Mm NBA naangaliaga ukianza mtoano. Bora niangalie Euroleague na Eurocup maana kuamka alfajiri kuangalia NBA inataka moyo kweli.
 
Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
Hawezi tena kutamba NBA,kuna damu mpya zimeingia nyingi sana toka yeye alegeze kamba.

Arudi tu Bongo aje awe judge wa Bongo Star Search.
 
Back
Top Bottom