Sote katika maisha yetu huwa kuna muda tunakosea. Hasheem kukosea mpaka kuanguka kutoka NBA hakuwa wa kwanza na kamwe hawezi kuwa wa mwisho. Ni kweli wengi tuliumia kutokana na kuanguka kwake, kwani tulifarijika baada ya kupata cha kwetu NBA. Akiwa kama binadamu, kama ilivyo kwetu sisi, anahitaji faraja zaidi fighting for his second chance to the NBA more than the hate and negativities we put on his name.
Ilikuwa ni vigumu kwake kuweza kusurvive NBA kutokana na mapinduzi yaliyofanyika katika game with just basic skills, lacking extra skills. Ujio wa watu kama akina Curry uliifanya game ibadilike from Traditional Baskeball to Modern Era of Basketball. Kwenye Modern Era concentration kubwa ilihamia kwenye Scoring na Shooting zaidi kuliko fundamental basketball, kitu ambacho kilifanya watu kama akina Hasheem washindwe kudumu, Centers saizi wanacheza nje ya D, wanachoot 3 kama guards na vitu kama hivyo. Sasa kuwa na mtu kama Hasheem kwenye timu automatically anakuwa liability.
Muhimu he should add shooting to his arsenal, soon tutamuona tu NBA hata ikiwa game 1 inatosha kabisa.