Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hapo ndiyo Hasheem anafanya makosa kudai kafika kwa juhudi zake. Na laana za wale waliokuwa wana mnunulia raba akiwa Makongo Secondari, wakimpa nauli ya daladala, wakimfundisha kikapu ndizo zimamtafuna kwa kuto kuwa acknowledge.Mtu kafika huko juu kwa juhudi zake mwenyewe...sote tumemjua baada ya yeye kuanza kupata mafanikio...Ana washauri wake waliofanya hadi wewe uanze kumjua,na ndio waliomfanya afike hapo alipo... Wewe pamoja na kutumia wakati wako vizuri hujamfikia bado.... Yeye alishaingiza Billioni 10 kwa mwaka sijui wewe unaingiza shingapi... Zaidi ni kumkalia kitako mtandaoni eti tunamfundisha... Kumfundisha ndo kumkejeli mnamkejeli hivyo... Wabongo tuna roho mbaya aisee... Sijui tulirithi wapi.
Hata kama alikutana na scouts wa Kinigeria akiwa Nairobi na ndiyo wakampeleka U-Conn, lakini akumbuke bila coach wa timu ya Sekondari, bila wale waliomtoa kwenye football na Bongo fleva isingekuwa hapo alipo. Hilo ndilo linamtafuna na litaendelea kumtafuna.