Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Kwa hiyo Usipoendekeza mapenzi ni mbinu mojawapo ya kufanya kazi yako kwa weledi kwenye michezo au kanuni hii inaweza kutumika hata kwenye nyanja nyingine?
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Daaah
 
Rasmi sasa karudi like ligi ya bongo, yupo Savio
Ni vema akifanya hivyo na umri ukianza kwenda huenda hio ikawa ni perfect opportunity ya kutangaza mpira wa Kikapu nchini, kuwapa support wanaochipukia na ikibidi kuwatengenezea njia na wenyewe wafike alipofika....

Kila kitu ukikiangalia kwa angle tofauti kuna Positives nyingi sana (Nina uhakika bado ana mchango mkubwa sana wa kutoa Katika Kikapu nchini) na akitumiwa huenda ikawa ni Positive kwa Ligi ya Kikapu nchini

Kama ni kweli lakini anarudi..., hata kama sio kweli namshauri siku akitaka kurudi anakaribishwa hususan wakati bado nguvu zipo (Its not Always about Money)
 
Aisee nasikitika Sana kwa jinsi Mambo yalivyomwendea kombo hasheem

Nikiwatazama Blake Griffin, James harden, Steph curry na DeMar derozan nasikitikia Sana

Jamaa hao ni same class of nba draft 2009 hasheen akiwa number 2 draft pick .

Wenzake Wana mikataba ya max wengine super Max wanalamba minimum 25m usd kwa mwaka

Daah eti Yuko wapi ! SAVIO [emoji15][emoji849]

Maisha bhana
 
Sio kwamba hasheem anacheza ligi ya Taiwan.
 
Aisee nasikitika Sana kwa jinsi Mambo yalivyomwendea kombo hasheem

Nikiwatazama Blake Griffin, James harden, Steph curry na DeMar derozan nasikitikia Sana

Jamaa hao ni same class of nba draft 2009 hasheen akiwa number 2 draft pick .

Wenzake Wana mikataba ya max wengine super Max wanalamba minimum 25m usd kwa mwaka

Daah eti Yuko wapi ! SAVIO [emoji15][emoji849]

Maisha bhana

Tolu kachezea shilingi chooni....Kubadili mademu hovyo hovyo nayo ni hatari ,midemu mingine ina gundu.
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
This time atakuwa amejifunza vya kutosha na kurekebisha makosa ya nyuma. All the best to him.
 
Tolu kachezea shilingi chooni....Kubadili mademu hovyo hovyo nayo ni hatari ,midemu mingine ina gundu.
Yap mademu wanagundu sana. Hata wasanii wanatafuta kiki kipumbavu mwishowe wanaanza kukosa makampuni yakuwatumia. Mfano konde boy alipohama WCB alianza kupata matangazo mengi, mdamfupi akavimba na kuanza kutembea na malaya wa mjini mtokeo yake makampuni hayaongezi mkataba nae. Mbunye ni shida mzee
 
Tusisahau na umri pia...
Hasheem ni agemate was Stephen curry ushawahi muona curry aki flop au ushamuona James harden akiflop

Huo umri alio nao ndio umri yaani unakuwa guru kweli kweli kweye basketball

So unawacheki Alina Steph ,LeBron walivyo watabe kwenye game.

Huyo mzee hasheem niseme tu alipata bahati kucheza NBA sababu ya urefu wake but hakuwa na talent kabisa ya basketball kule NBA wanaitwa BUST nadhani yeye ni biggest bust of all time[emoji1787]maana alikuwa drafted namba 2 just imagine namba 2 yaani akitoka namba 1 ambaye ni Blake Griffin anafuatie yeye halafu James Harden ,Steph curry alikuwa namba 7 huko .

Jamaa kafanya NBA siku hizi wasiwe na mzuka na big men ukishakiwa na 7.2 footer hufai kwenhe ile game

Siku hizi hata 6.0 wanachukuliwa coz unakuta Wana skillz nyingi kuliko big men

6.0 anaweza dribble,pass,shooting ,defend, playmaking wakati big men Kama hasheem wataishia kuwa blockers [emoji1][emoji1787]

Hashema bhana .
 
Gundu la wadangaji wa Bongo si mchezo. Dogo kujichanganya na kina Wema bhaasi
 
Sisi binadamu ni rahisi sana kuhukumu wenzetu. Tunamshangaa Hashim kwamba ameshindwa kufanikiwa kwa kutumia urefu wake na opportunity aliyopata US, wakati nasi tukijichunguza sana utaona hatujafanikiwa kwenye mambo yetu kwa kutumia opportunities tulizonazo katika mazingira yetu na full potentials tulizonazo.

Kuna warefu wengi tu US ambao hawajafanikiwa kuwika kwenye basketball. Basket sio urefu tu au kucheza vizuri kwenye league za awali. Kuna ingredients nyingi tu zinazomfanya mtu atoboe au asitoboe - kuanzia motivation ya mtu husika, watu wanaomzunguka, team aliyopo na mengine mengi tu.

Tusimlaumu Hashim utadhani tulimpeleka US kama Taifa. Kila mtu aangalie katika mazingira yake kwanini hatoboi.
 
Back
Top Bottom