Kuna namnaView attachment 3173895
Kwa mujibu wa Wanasayansi ni kwamba sisi Humans tunaukaribu sana wa DNA na Apes, Chimps/Gorilla. 98 point something ya DNA zetu zinafanana na hata tabia zetu pia zinafanana.
Vipi unakubaliana na Wanasayansi kwenye hili?!
Au Dr. Richard Dawkins kaenda too far...?
Kutakuwa na tofauti kweli? au huyo Demu wa KiSokwe ndio itakuwa balaa...atakuwa ananagawa kwa kupewa Ndizi moja tu, na Masela watapangana foleni wakati wewe uko kazini kila msela na Ndizi mkononi.Kwa hawa manzi wetu walivyozidi kutupiga mizinga, huyo dr ana hoja. Ngoja niende misitu ya gombe kule kigoma nkamtafute "my wangu" chaap kabla mambo hayajaanza kutindinganya!
Haiwezekani, binadamu wana Chembeuzi (Chromosomes) 46. Wakati huo Sokwe na jamii nyingine wana zaidi ya 46.Je Mwanadamu akifanya mahusiano na Sokwe Mtu wanaweza kuzaa Mtoto?!
Uongo huu....View attachment 3173895
Kwa mujibu wa Wanasayansi ni kwamba sisi Humans, tunaukaribu sana wa DNA na Apes, Chimps/Gorilla. 98 point something ya DNA zetu zinafanana na hata tabia zetu pia zinafanana.
Vipi unakubaliana na Wanasayansi kwenye hili?!
Au Dr. Richard Dawkins kaenda too far...?
We jamaa masokwe hayadanganyiki kizembe. Labda nyani ndo ningekuwa na wasiwasi naye ila sio sokwe...Kutakuwa na tofauti kweli? au huyo Demu wa KiSokwe ndio itakuwa balaa...atakuwa ananagawa kwa kupewa Ndizi moja tu, na Masela watapangana foleni wakati wewe uko kazini kila msela na Ndizi mkononi.
Nimeyaona Netflix yanachiti sana menyewe kwa wenyewe linahongea Tunda pori linaachia bora hata Wanawake wetu wa Kibinadamu mpaka hela ya Vocha.We jamaa masokwe hayadanganyiki kizembe. Labda nyani ndo ningekuwa na wasiwasi naye ila sio sokwe...
Wale ni binadamu waliokosa uwezo wa kuongea, uwezo duni kidogo wa kupambanua mambo na exposure ila vingine tunaendana
Kweli hata genome binadamu anazo mbili nuclear na mitochondrial wakati sokwe ana genome mojaHaiwezekani, binadamu wana Chembeuzi (Chromosomes) 46. Wakati huo Sokwe na jamii nyingine wana zaidi ya 46.