imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwa mujibu wa Wanasayansi ni kwamba sisi Humans, tunaukaribu sana wa DNA na Apes, Chimps/Gorilla. 98 point something ya DNA zetu zinafanana na hata tabia zetu pia zinafanana.
Vipi unakubaliana na Wanasayansi kwenye hili?!
Au Dr. Richard Dawkins kaenda too far...?