Ndugu yetu?!.

Ndugu yetu?!.

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
chimpanzee-01.jpg

Kwa mujibu wa Wanasayansi ni kwamba sisi Humans, tunaukaribu sana wa DNA na Apes, Chimps/Gorilla. 98 point something ya DNA zetu zinafanana na hata tabia zetu pia zinafanana.

Vipi unakubaliana na Wanasayansi kwenye hili?!

Au Dr. Richard Dawkins kaenda too far...?
 
Basi hawa Apes tuwape Status kama yetu ili Sheria zetu za Kibinadamu ziwalinde kwa mfano Binadamu akimuua Chimpanzee Binadamu huyo asimamishwe Kizimbani na ikibidi anyongwe hadi kufa.

Hali kadhalika Gorilla likiua Mwanadamu basi Gorilla hilo lisimamishwe Kizimbani swali ni kwamba litawezaje kujiteteta wakati lugha za Kibinadamu halizielewi?! Au anaweza kufundishwa Sign Language ya Binadamu?🤔
 
Kwa hawa manzi wetu walivyozidi kutupiga mizinga, huyo dr ana hoja. Ngoja niende misitu ya gombe kule kigoma nkamtafute "my wangu" chaap kabla mambo hayajaanza kutindinganya!
 
Kwa hawa manzi wetu walivyozidi kutupiga mizinga, huyo dr ana hoja. Ngoja niende misitu ya gombe kule kigoma nkamtafute "my wangu" chaap kabla mambo hayajaanza kutindinganya!
Kutakuwa na tofauti kweli? au huyo Demu wa KiSokwe ndio itakuwa balaa...atakuwa ananagawa kwa kupewa Ndizi moja tu, na Masela watapangana foleni wakati wewe uko kazini kila msela na Ndizi mkononi.
 
Kutakuwa na tofauti kweli? au huyo Demu wa KiSokwe ndio itakuwa balaa...atakuwa ananagawa kwa kupewa Ndizi moja tu, na Masela watapangana foleni wakati wewe uko kazini kila msela na Ndizi mkononi.
We jamaa masokwe hayadanganyiki kizembe. Labda nyani ndo ningekuwa na wasiwasi naye ila sio sokwe...
Wale ni binadamu waliokosa uwezo wa kuongea, uwezo duni kidogo wa kupambanua mambo na exposure ila vingine tunaendana
 
Nimeyaona Netflix yanachiti sana menyewe kwa wenyewe linahongea Tunda pori linaachia bora hata Wanawake wetu wa Kibinadamu mpaka hela ya Vocha.
 
Masokwe ya huko West Africa yanapenda sana Pombe ya Mnazi na kumekuwa na ugomvi wa mara kwa mara kati ya Binadamu Wagemaji na kundi la Masokwe walevi.

Mimi nilikuwa najua ulevi ni exclusively Human Behaviour.
 
West-African-chimpanzee.jpg

Je hawa Jamaa zetu wana uwezo wa kufikiri na kama wanao sijui huwa wanafikiria nini? Zaidi ya Ndizi za Ngono.
 
Haiwezekani, binadamu wana Chembeuzi (Chromosomes) 46. Wakati huo Sokwe na jamii nyingine wana zaidi ya 46.
Kweli hata genome binadamu anazo mbili nuclear na mitochondrial wakati sokwe ana genome moja
 
Kuna hii habari nimeikota huko sijui kama ina ukweli wowote.👇

Inside the bizarre world of human-chimp hybrids known as humanzees​

A RENOWNED scientist has made claims a human-chimpanzee hybrid was born in a research facility 100 years ago before being killed by panicked doctors.
Mark Hodge

2 min read
January 30, 2018 - 11:54PM
The Sun
12 Comments

share.svg

|
8474327ca3f70bcac29b46a63fdd4d75

01:02
Human Cloning: Are we one step closer?

Human Cloning: Are we one step closer?
View more related videos

A HUMAN-chimpanzee hybrid was born in a Florida lab 100 years ago before being killed by panicked doctors, claims a renowned scientist.
Evolutionary psychologist and University of Albany professor Gordon Gallup coined the term “humanzee” which refers to a human-chimp crossbreed — a scientifically possible hybridisation which was attempted throughout the 20th century, reports The Sun.
Dr Gallup, who developed the famous mirror “self-recognition” test which proved primates could acknowledge their own reflection, claims his former university professor told him that a humanzee baby was born at a research facility where he used to work.
 
Back
Top Bottom