Ndugu zangu Chadema Jeshi la Polisi halina siasa, Niffer na Diva wana siku ya pili leo wako lock up, mngekuwa nyie mko Lock Up hadi leo kelele kibao

Nchi itachelewa sana kusonga hii, utafananishaje, hivyo vitu 2 kwa pamoja?
 
sawa sawa...

vp mmiliki wa jengo,minjinia,watoa vibali vya ujenzi ..... wamekamatwa au

ova
 
 
Hao akina nifa na chadema wapi na wapi? Nimefuatilia kumbe unahangaishwa na ukware tu! Ngoja wakae ndani hawana adabu, Tena wafungwe kabisa!
 
Hao akina nifa na chadema wapi na wapi? Nimefuatilia kumbe unahangaishwa na ukware tu! Ngoja wakae ndani hawana adabu, Tena wafungwe kabisa!
Mmiliki wa jengo,waliyojenga,waliyotoa vibali
Mshawasahau 😄
Kko inabdi zile gorofa 63 mbovuuu zishuke tu kwa pamojaaa

Ova
 
Vijana weng sana wamekua na matatzo ya akili hapa nchini,hata uwezo wa kufkir ni mdogo sana na hauna tija Kwa taifa
 
Mafala wapo wengi Sana jamiiforum...
Unashindwa kujiuliza kwanini Hadi Leo mmiliki wa jengo hajulikani
Sikumbuki vizuri kulikuwa na msala watu wakapiga kelele sana halafu wakamkata mtu ambae ukimuangalia tu unajua huyo kaokotwa mahali hata issue haijui

Usije kushangaa wanaleta mtu tofauti halafu wakasema tunamshikilia mwenye jengo
 
Unajuaje kuwa wanalala huko
 
Naona umekuja kuwatetea watekaji, unadhani tunaposema kuwa jeshi la polisi linatumika kisiasa tunabahatisha?
 
Chademaphobia! Watanzania wote tunapaswa kupiga kelele kama kuna uonezi.
 
Unaweza kuta kuna wakubwa wa polisi wanataka wapewe utelezi kwanza ndio wawaachie, na hao wanawake unakuta hawataki. Basi wanawaweka ndani ili kuwakomoa.
 
Kukaa lockup zaidi ya masaa 24 siyo utaratibu ulio kwenye CPA, polisi wanatakiwa wakae masaa 24 tu baada ya hapo wapewe dhamana au kama hawana watu wa kuwadhamini wapelekwe mahakamani kisha mahabusu za gerezani
 
 
Sawa lakini mbona waliompiga RISASI Tundu Lisu mpaka leo hawajakamatwa?
Nani alimuua BEN SANANE mbona hajakamatwa?
Kibao alikamatwa mbele ya kadamnasi tena na watu wanaozaniwa kuwa wanatoka kwenye dola mbona hawajakamatwa?
Unashabikia ujinga kwa kuwa nawe ni mjinga mkubwa
 
Sikumbuki vizuri kulikuwa na msala watu wakapiga kelele sana halafu wakamkata mtu ambae ukimuangalia tu unajua huyo kaokotwa mahali hata issue haijui

Usije kushangaa wanaleta mtu tofauti halafu wakasema tunamshikilia mwenye jengo
Ishu ya Mo dewji
 
Hao si ni wana CCM wenzenu...?

Na sababu za kuwa Lock Up ni kuwatisha hao wanawake waachie mgawo wa pesa walizochangisha, basi....

Tangu lini police - CCM wakawa watu wa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria..?

Rushwa, rushwa, rushwa, rushwa tupu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…