Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa sawa...Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.
Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.

Mmiliki wa jengo,waliyojenga,waliyotoa vibaliHao akina nifa na chadema wapi na wapi? Nimefuatilia kumbe unahangaishwa na ukware tu! Ngoja wakae ndani hawana adabu, Tena wafungwe kabisa!
Vijana weng sana wamekua na matatzo ya akili hapa nchini,hata uwezo wa kufkir ni mdogo sana na hauna tija Kwa taifaHuwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.
Sikumbuki vizuri kulikuwa na msala watu wakapiga kelele sana halafu wakamkata mtu ambae ukimuangalia tu unajua huyo kaokotwa mahali hata issue haijuiMafala wapo wengi Sana jamiiforum...
Unashindwa kujiuliza kwanini Hadi Leo mmiliki wa jengo hajulikani
Unajuaje kuwa wanalala hukoHuwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.
Naona umekuja kuwatetea watekaji, unadhani tunaposema kuwa jeshi la polisi linatumika kisiasa tunabahatisha?Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.
Unaweza kuta kuna wakubwa wa polisi wanataka wapewe utelezi kwanza ndio wawaachie, na hao wanawake unakuta hawataki. Basi wanawaweka ndani ili kuwakomoa.Polisi wanakamata kwa amri ya waziri mkuu, na rais. Halafu wanasema hawatumiki kisiasa. Na hawata waachia mpaka aliyewaambia wawakamate aseme waachieni, bila kujali kosa linadhamana au la.
Kwanini walazwe lumande kama wameshatoa maelezo yao, na pesa wamesha zitoa?
Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao "Shuwaini" umeanza vizuri mwisho umevurunda eti ungepita nao.
Sawa lakini mbona waliompiga RISASI Tundu Lisu mpaka leo hawajakamatwa?Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.
Niffer na Diva wako mikononi mwa Polisi kwa madai ya kutaka kujinufaisha kinyume cha sheria kwa kuchangisha watu kinyume cha sheria. Leo wana dada hawa warembo wako pale Polisi Kati wakisaidia dola kupata ukweli, nani aliwatuma? walifanya kwa maslahi ya nani? wamechangisha kiasi gani, wamepata kiasi gani, ziko wapi hela hizo, na maswali kibao, hapo hakuna siasa.
Wengi wamewaombea msamaha hasa Niffer ambaye alimkosea PM kwa kuanza kujibizana naye, huyu mtoto mdogo sana ana umri wa miaka 25, ana uwezo flani hivi wa kiuchumi hadi kufikia kumiliki Range sasa akaona hata PM anammudu.
All in All hoja yangu mimi kuwa kesho Chadema mkikamatwa na kupelekwa pale Centro kaeni mkijua it is a matter of Criminal Procedure Act and not otherwise.Kwa sasa dola inaangalia Mens Rea na Actus Reus agains Niffer and Diva, but naamini hekima na busara itatumika tu.Hawa madada wawili wana mvuto sana, natamani kwenda kwa mganga wote waingie kwenye 18 zangu nipite nao.
Ishu ya Mo dewjiSikumbuki vizuri kulikuwa na msala watu wakapiga kelele sana halafu wakamkata mtu ambae ukimuangalia tu unajua huyo kaokotwa mahali hata issue haijui
Usije kushangaa wanaleta mtu tofauti halafu wakasema tunamshikilia mwenye jengo
Hao si ni wana CCM wenzenu...?Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi anarudishwa dar, mara Boni Yai kaenda kupekuliwa kwao, kumbe ni Procedure tu ambazo ziko kwenye CPA - Crimininal Procedure Act.