Ndugu zangu hawataki tukarabati nyumba ya wazazi wetu. Pesa iliyopo wanataka tugawane, naombe mawazo yenu

Waambie unakarabati msibaki na golf lililowashinda NI uharibifu wa rasilimali...au miuze mgawane hela..wakikubali jua huna watu hapo uzeni Ila ujipange kivyako..huna watu hapo watakusumbua...
 

Kama Mpo wa 5 na wote wameamua hivyo; then unataka ufanyaje? Usitafute stress kwa mambo ya Kijinga; undugu ni misiba, arusi, etc, sio pesa na Biashara! Wengi wape, itakupunguzia stress, after all sio mali yako
 
Waambie unakarabati msibaki na golf lililowashinda NI uharibifu wa rasilimali...au miuze mgawane hela..wakikubali jua huna watu hapo uzeni Ila ujipange kivyako..huna watu hapo watakusumbua...
Wamsumbue kwani yeye zake, Kila mtu achukue chake undugu uendelee, huyu anayeng'ang'ania kurepea nyumba swali je wakifa hao ndugu zake yuko tayar kuwapa watoto na mke au Mme wa waliokufa au ndo zitabaki zake? Mali ya wazazi waliokufa inagawanywa Kila mtu anaendelea na familia yake, mkuu gawa Mali acha kujifanya unataka kuzitunza SI ZAKO.
 
Mimi naona gawanya hela watu walipe ada ,January hii Kaka
 
Mwanga hapa ni huyo fuko anaishi hapo nyumbani,na msipoangalia anaweza hata waloga kabisa,yani wanasema tajiri wanaroho mbaya ila sio kama maskini,hasa wa fikra.
 
Watakuua hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…