Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.
Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?