Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

Unaonekana unampenda sana eeh, muoe tuu mkuu, afu ndo nyie nyie badae tunasikia mmeua, hapo unaweza mtumia iyo laki2 akaenda kununua bikini na mafuta akamvalie bwana wake alafu wewe ukienda duka la nguo wakakumbia jeans nzuri elfu40 unasema sina iyo ela ya kuchezea[emoji16]
 
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.

Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.

Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?

View attachment 2690541
Nimecheka kwa sauti, mdada ni nouma hajali msiba wala nini
 
Kwanza una uhakika huyo ni msomi? Au labda kaishia certificate hapo IFM na hapo bank amewekwa kimchongo.
Hajakaa kama mwanamke anayejielewa. Futa namba haraka na umblok kabisa.
Tatizo mnachanganya msomi na level za madarasa sio kila aliyefika chuo kaelimika,
 
Huwenda umemzoesha kumpa hela kila anapohitaji🤔🤔

lakini tena akili inaniambia sasa vipi kuhusu msiba wa ndugu yako na taarifa anayo?

Kwanini asioneshe hata kaunafiki kidogo akuambie hilo suala la mchango baada ya shuguli za msiba kumalizika?

Siyo huyo tu,wapo wengi sana wanawake wa hivi. Wanaume tunapitia magum sana kwenye kuwapata wale tunaofaana nao kwenye mahusiano
 
Tatizo mnachanganya msomi na level za madarasa sio kila aliyefika chuo kaelimika,
Kufika tu chuo nowadays kama ni mwanamke basi ata kuwa groomed na feminists, akitoka hapo kashatolewa uwanawake wote.
Achilia mbali kuelewa alichofundishwa au laa.
 
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.

Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.

Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?

View attachment 2690541
Naomba tu nikuambie ukweli wewe huna gundu kinacho kuponza ni ujuaji. Nimekuona sehemu kadhaa ukileta ujuaji na huko nikakuambia.

Hata kama unajua vipi , hata kama unaakili, hata kama unapesa vipi, hata kama unamali kiasi gani au unawadharau wanawake kiasi gani jinsi ya kuongea nao ili uteke akili zao na uvune utelezi wao.

Ila wewe ni mbulula huwezi
 
Tafuta mzuri aliomaliza form four akafeli ongea na wazazi wake weka ndani, hautojuta.
Sio kupambana na ayo majoka ya mdimu, mwanamke akipata exposure sana nayo ni tatizo.
Ata uyo wa form 4 asiwe ameshakaa mtaani kwa zaid ya miaka 2 nae itakua ni tatiz vile vile
 
Inaonekana unahonga hela kubwa wewe au unatongoza kwa kutoa hela badala ya maneno

Haiwezekani hela za mchango akuombe wewe hell NO

Acha kuwafundisha hela hivyo hata sisi wazazi hatuwapi hivyo
Ni mjinga tu huyu dada
 
Brother shtuka utaibiwa!
Hakuna mwanamke hapo, mwanamke mbinafsi haangalii wala kufikiria mapito unapitia anakuomba pesa huyo atakuja siku kukuletea bill ya vinywaji alivyospend na mashoga zake ukiwa umelazwa hospital
Piga chini nyang’au hiyo.
Eti wewe wa kukosa 200k maana yake haelewi kama kuna ups and downs anachojua yeye ni kupata tu atakufelisha.
Huyu hana akili hana utu kabisa
 
Back
Top Bottom