[emoji23][emoji23] laki 2??? Mimi kuna demu mimemtoa baru kwa kuniomba elf 5.
Huyu dada amefungua kimgahawa juzi juzi, sasa jana akaniambia eti kikapu alichokuwa anatumia kusambazia chakula kwa wateja mwenye nacho amekichukua, hakikuwa chake. Kaniomba nimuongezee hela amunue kikapu. Ila kwa nilimvyomsoma ana katabia ka uongo uongo.
Nikamwambia nalichukua nitalifanyia kazi. Baada ya kama dakika 30 hivi nikampigia, nikamuiliza
"Kwani kikapu mnamunua sh ngapi??
Akajibu "elfu 5-7"
Nikamuuliza "Wewe hapo una sh ngapi??"
Akajibu ana elfu 3. Nikamwambia "Nyumbani si unapajua??
Yeye "Kwako??"
Mimi "Ee"
Yeye "Napajua ndiyo"
Mimi "Imeisha hiyo"
Yeye "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Nikakata simu.
Hee!! Dakika kama 5 akapiga simu akaanza dizain kama analalamika hivi..
Yeye " Sasa mpenzi, mimi sina kikapu hapa, halafu unasema hela niifate kwako kweli??"
Mimi "Kwani kikapu kimechukuliwa lini?
Yeye "Jana"
Mimi "Kwanini hukuniambia hiyo jana au leo asubuhi nikajua jinsi ya kudeal nalo??
Akaanza kama kuforce nimpe hela saa hiyo hiyo, nikaona eeeh wataka kunipanda kichwani.
Mimi kwa sauti ya mamlaka ya kiume " Aneti..hilo unalotaka haliwezekani kwa muda huu, SAWA???????
Yeye "Haya sawa[emoji26]"
Nikakata simu.
Na nyumbani hakuja na mimi nimechuna hadi kesho...
WANAUME TUSIENDEKEZE UJINGA