Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sijajua wanawake wa miaka hii wanazaliwa wapi. Sielewi hata nguvu za kuomba pesa baada ya kumwambia ana msiba kazitoa wapi.Yaani unampa mtu taarifa za msiba yeye anakupa taarifa za mchango wa send-off sijui,
Hivi hizo kabrasha na mafurushi huwa mnayaokotea wapi?
Si alipaswa ajiandae aje msibani kukufariji mfiwa?
Aiseee.... Sijui wanafundishwa wapi haya mamboTafuta mzuri aliomaliza form four akafeli ongea na wazazi wake weka ndani, hautojuta.
Sio kupambana na ayo majoka ya mdimu, mwanamke akipata exposure sana nayo ni tatizo.
Hao ndio aina ya wanawake ambao wanaume wengi tunaotaka kuoa, tunakutana nao mtaaniYaani unampa mtu taarifa za msiba yeye anakupa taarifa za mchango wa send-off sijui,
Hivi hizo kabrasha na mafurushi huwa mnayaokotea wapi?
Si alipaswa ajiandae aje msibani kukufariji mfiwa?
Ukianza kupanda mlima anza na gia ndogoHuyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.
Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?
View attachment 2690541