Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Nimecheka kwa sauti, mdada ni nouma hajali msiba wala niniHuyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.
Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?
View attachment 2690541
Ni sawa lakini Kuna kupata piaHata hao wanaomba Mungu still talaka pale pale,unaweza ukaomba Mungu akupe wako shetani akawahi kukuletea wa kwake pia
😂😂😂😂Yani acha tu sehemu kama hakuna huruma na mapenz Huwa hayapatikaniNimecheka kwa sauti, mdada ni nouma hajali msiba wala nini
Noted: ramani ya vitani hiiTafuta mzuri aliomaliza form four akafeli ongea na wazazi wake weka ndani, hautojuta.
Noted: hii inatoa funzo kwamba gia namba 2 ndio ya kupandia mlima
Tatizo mnachanganya msomi na level za madarasa sio kila aliyefika chuo kaelimika,Kwanza una uhakika huyo ni msomi? Au labda kaishia certificate hapo IFM na hapo bank amewekwa kimchongo.
Hajakaa kama mwanamke anayejielewa. Futa namba haraka na umblok kabisa.
Block hadi ukutane na aliye kwenye circle ya 30%. Una haraka ya wapi?Kwa sasa asilimia 70 ya wanawake wako hivyo, utablock wangapi Hannah
Mwamba unachekesha sana aiseeeeHata hao wanaomba Mungu still talaka pale pale,unaweza ukaomba Mungu akupe wako shetani akawahi kukuletea wa kwake pia
Kufika tu chuo nowadays kama ni mwanamke basi ata kuwa groomed na feminists, akitoka hapo kashatolewa uwanawake wote.Tatizo mnachanganya msomi na level za madarasa sio kila aliyefika chuo kaelimika,
Naomba tu nikuambie ukweli wewe huna gundu kinacho kuponza ni ujuaji. Nimekuona sehemu kadhaa ukileta ujuaji na huko nikakuambia.Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.
Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.
Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?
View attachment 2690541
Huyo manzi ni hamtaki jamaa kwa herufi kubwaYaani unampa mtu taarifa za msiba yeye anakupa taarifa za mchango wa send-off sijui,
Hivi hizo kabrasha na mafurushi huwa mnayaokotea wapi?
Si alipaswa ajiandae aje msibani kukufariji mfiwa?
Ata uyo wa form 4 asiwe ameshakaa mtaani kwa zaid ya miaka 2 nae itakua ni tatiz vile vileTafuta mzuri aliomaliza form four akafeli ongea na wazazi wake weka ndani, hautojuta.
Sio kupambana na ayo majoka ya mdimu, mwanamke akipata exposure sana nayo ni tatizo.
Ni kweli Kabisa, mkaka kama ana akili achomoke mapema kabisa😂😂😂😂Yani acha tu sehemu kama hakuna huruma na mapenz Huwa hayapatikani
Ni mjinga tu huyu dadaInaonekana unahonga hela kubwa wewe au unatongoza kwa kutoa hela badala ya maneno
Haiwezekani hela za mchango akuombe wewe hell NO
Acha kuwafundisha hela hivyo hata sisi wazazi hatuwapi hivyo
Yanakuwa na shape ila hayana akili.Tatizo mnabeba mizigo Halafu mnalia Lia humu,walahi midemu ya hivi sijui mnaitoaga wapi.
Huyu hana akili hana utu kabisaBrother shtuka utaibiwa!
Hakuna mwanamke hapo, mwanamke mbinafsi haangalii wala kufikiria mapito unapitia anakuomba pesa huyo atakuja siku kukuletea bill ya vinywaji alivyospend na mashoga zake ukiwa umelazwa hospital
Piga chini nyang’au hiyo.
Eti wewe wa kukosa 200k maana yake haelewi kama kuna ups and downs anachojua yeye ni kupata tu atakufelisha.