Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

Yaani unampa mtu taarifa za msiba yeye anakupa taarifa za mchango wa send-off sijui,
Hivi hizo kabrasha na mafurushi huwa mnayaokotea wapi?

Si alipaswa ajiandae aje msibani kukufariji mfiwa?
Kuna mzazi mwenzangu aliwahi kuniomba hela wakati anajua nyumba niliyokuwa naishi imeungua moto,Hii jinsia nahisi sio ya sayari hii tuliopo.
 
Aseee wewe mwanamke unanifaa sana kwasababu una mawazo kama yangu
 

HAYA NDO MAAMUZI YA KIUME.

UPO KAMA MIMI


MLETA MADA UKISHAKOJOA NDO UTAONA LAKI 2 NI PESA AMA UCHAFU
 
Kuna demu moja jinga sana juzi nawasha simu nakuta nimeungwa kwenye group la watsaap anaomba michango ya birthday party
 
Unavyojiweka ndiyo wanavyopata ujasiri wa kukupoga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…