Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
We dwell here not according to our will, but according to his divine plans.

Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima.

Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo..

Umezaliwa, unapumua, unaona na process zote zina endelea bila uamuzi wako, Je kwanini ujipe umuhimu ambao huna...

I shall rejoice to my creator, Kadri ni navyo ruhusu Mungu katika maisha ndivyo anainifanya nione ya kuwa funguo wa maisha yangu anao yeye,

I will never trust on the flesh, but I will let the holy ghost lead me as I walk upon the waters of salvation..

I will never trust on men, but the true living God in me.

Blessings.
 
Back
Top Bottom