Ndugu zangu msomeni huyu mwanamke halafu mnipe ushauri

Mapenzi ni kurekebishana kama unampenda kweli ni mention nikupe ushauri mzuri hutojutia
 
Sometime nikimjibu sina anajibu sawa , ila shida ni mbio mbio yani sipumui wakuu, hapa hata nikisema ni danganye mtoto wa mtu sina mwanamke lazima ni kamatwe labda ni nunue laini nyingine ya siri sana
Tufupishe stori.
Huyo mchaga kuna maokoto ameyaona kwako au kama sio maokoto basi kuna fursa ameiona kwako ambayo italeta maokoto mbeleni.
Sasa anakuchosha hivyo ili usipate wazo la kwenda kwa mwanamke mwingine yaani hataki upate mwanamke mwingine hata kwa bahati mbaya.
Wanawake wa kichaga ndio wako hivyo akishaona sehemu ina uhakika anakuwa makini sana hataki kiumbe wa aina yoyote asogee.
Na atahakikisha matumizi ya pesa yako yote anayajua,hataki pesa ipotelee nje kizembe

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Napigiwa simu kila wakati, kila dakika, natumiwa meseji kila mara na nikichelewa kujibu simu inapigwa .. yani hapa hata chance ya kuchepuka sipati na ole wangu nisipatikane na penzi napewa mpaka na legea kabisa yani naona anaelekea kunizidi stamina
Atakuua mkuu kimbia haraka kama ni single mama maana ndo zao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mzee wako hakuvaa salama kondom, kinga kwa ajili ya wote?
 
Sijaelewa point yako ya kuja kulalamika humu,sasa kama K anakupa nini tatizo lako hapo?
 
Embu usimpe hela uone kinchopelekwa mbio ni hela sio ww
 
We
Wenzio hatupigiwi simu na hakija ghetto ni kimoja hataki Tena lkn bado tumenyamaza au unataka tukuibie lete namba zake nimsahuri kitu wew umeshindwq
 
Tutatoboa kweli kizazi cha kesho na hawa wavulana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…