Ndugu zangu msomeni huyu mwanamke halafu mnipe ushauri

Ndugu zangu msomeni huyu mwanamke halafu mnipe ushauri

Ndugu wana Jf.

Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi

Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka mchaka, na hivi ndivyo anavyo nipeleka kama nilivyo ainisha kwenye hii comment hapo chini kuhusu namna anavyo nipeleka kimawasiliano

""Mimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani

Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa."

Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?
Mkinyimwa unyumba mnakuja kuandika uzi wa malalamiko na mkipewa sana ili mridhike pia mnakuja kuandika uzi wa malalamiko.
Kwa hili namtetea huyo mpenzi wako pambana naye ili kusiwe na kisingizio cha aina yoyote cha kutafuta michepuko
 
Ukisikia mapenzi ya mwendokasi ndio hayo sasa
We chakata papuchi jombaa
 
Back
Top Bottom