Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

Ndivyo ilivyoandikwa pale ,Personal withdraw angalia tu je kwenye mashine yako ukiwithdraw cash unatumia njia gani? Namba yako ya sim au mtu yeyote anaejua namba ya Siri anaweza kutoa pesa
Mara nyingi natumia ATM na muda wote ipo kwenye walet, kuhusu mtu anayejua password yangu namuamini hawezi niibia after all card nipo nayo 24/7
 
Sasa unalalamika Nini?? Hujui unapaswa kuilinda KADI yako na pasiwedi yako kuwa Siri binafsi? Ukienda benki unapaswa uwekwe chini ya ulinzi kwa uchunguzi.. unataka kuiharibia benki jina?!
 
Sasa unalalamika Nini?? Hujui unapaswa kuilinda KADI yako na pasiwedi yako kuwa Siri binafsi? Ukienda benki unapaswa uwekwe chini ya ulinzi kwa uchunguzi.. unataka kuiharibia benki jina?!
Acha kukurupuka, ukiambiwa mtu wa karibu unaelewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…