Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

We endelea kula mzigo
Usikurupuka
Nenda kapime nae kwanza HIV
Kisha kaa tulia kabisa andaa na hela ya kupima DNA
Ila usimwambie mtoto akizaliwa tukapime DNA ukimwambia anaweza kutoa mimba, cha msingi fanya siri kabisa,
Mtoto akishuka be happy yu usioneshe aina yoyote ya kutoamini
Kisha siku ya kwenda clinic mpeleke
Mfanyie surprise mwambie nataka tumpime huyu mtoto na mimi DNA
 
Samahani we ni jinsia gani?ke au me?mkeo kgongwa unamsamehe unakuja kutuuliza mimba ni ya nani?jibu rahisi sana kwa swali gumu naloweza kukupa ni kwamba mimba ni yenu wewe na mke wako!
 
Aiseee!! Babu kumbe mm mchepuko wako!!
 
Mkuu kama huyo mkeo (kama unavyomuita) kakuambia hawara yake hasimamishi na kakuacha wewe kumfuata yeye, umejitathimini usimamishaji wako anauzungumziaje huko kwa wengine?
 
Hata kama nikupenda sio huku jamani, au tatizo ni kwavile anamimba naww ulikuwa ukitafuta mtoto kwa muda mrefu kwa hiyo unaona umelamba dume kusikia ana mimba?? Aibu ya kukosa mtoto huwa inakuwa kubwa sana kwa mwanamke na huwa wakotayari kusaliti ndoa ilimradi mtoto apatikane.
 
Yaani umegongewa mke halafu umekubali kuendelea naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio limbwata orijino
 
DNA kwa bongo ni siasa tupu maana wanaona vipimo vikitolewa na kuonesha baba wa mtoto ni mwingine itasababisha mifarakano na mtoto kukosa matunzo.

It's unfair kwa anaebambikiwa mtoto, na hata mtoto mwenyewe kutomjua baba yake halisi, bora kujua kweli na km mtu asingetaka mifarakano angetulia,
 
itakuwa dokta alimwambia wewe huwezi kumpa mimba
sema nae akacheza game lake vibaya
 
[HASHTAG]#Clueless14[/HASHTAG] nahisi wewe pia ni mmoja wao kama umeolewa lazima utakua umemletea mmeo mtoto wa nje siamini kabisa unavyotetea ujinga wa mwanamke mwenzio khaaa !! [emoji86] [emoji86] [emoji86]

Hivi mimi na wewe nani mjinga?
Nimeshauri apime dna kujua mtoto wa nani ujinga wangu uko wapi? Pita kushoto usinitafutie ban
[HASHTAG]#nottodaysatan[/HASHTAG]!
 
Pole sana ndugu yangu ukweli unagongewa kitendo cha kumkataza mkeo asiende msibani na yeye anaamua kwa makusudi kuondoka kuna driving force toka nje. Options mbili moja huyo mkeo kesharubuniwa mawazo yake uamue kumpiga chini au ungoje mtoto azaliwe mkapime DNA ili kuthibitisha ukweli wa mambo.
 
Ulipewa kibishi kibishi usiku.

Asubuhi akaondoka kibabe akaenda gegedwa akarudi kesho yake (Usiku Kucha Alishindia Mpini kwa maana hiyo).

Siku aliyong'ang'ania safari ya mgegedo ni exactly tarehe zilee mlizoshauriwa na daktari kuwa hata likizo ikibidi muombe ili mjenge mtoto. Yeye kasepa.

Uhakika kuwa aligegedwa unao kabisa.

Leo mnasuluhisha afu freshh tu unatulia.

Utetezi ni "Hasimamishi Vizuri" na wewe ukakubali. Mwenzio anaambiwa hausimamishi kabisa nahisi.

Na kwa kuzingatia yote hayo Nakushauri Chukua nguo zako kimbia kama Subaru. Au ukiamua kubaki basi kaa kwa kutulia acha kulia lia huku na kule. Kaa kwa uvumilivu.

Wahenga japo walikuwa walevi wana msemo wao "Kitanda hakizai haramu"

SWALI: Je Mkuu Wewe Hobbies Zako Ni Nini?
 
"Inauma"kuona mwanaume unafanywa bwege na wewe unakubali...

Kwa staili hii...acha huyu wa kwangu aendelee kuwa mnoko...
 
We nawe ka! Tukiita wanau
 
Ka huyu naye ni mwanaume?Una hitilafu kwenye ubongo.Jeuri ya kupost upuuzi huu ndo imepelekea nione una hitilafu.ww siyo.You might be insane.
 
Ningekuwa mimi tayari niko jela nanyea ndoo kwa kuua..![emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…