Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

pole kaka maskini hujui ni lini mwanamke anaweza kubeba mimba? haya ona mfano huu hili ukusaidie ukipata mke mwingine coz huyo sio mke ni malaya tu.

mf. leo ni tarehe 4 ndo mke kaingia siku zake hesabu sasa. 4 5 6 7 8 (atatoka period) 9 10 11 12 13(safe days ) 14 15 16 1 7 18 19 20(danger days ) 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 (safe days)

nb kuanzia trh 21 kuendelea mwanamke hawezi kupata ujauzito . poleee
 
Mmh !mapenzi ni yenu na maamuzi ya kuacha mke au kuendelea ni yako binafsi ,usisikilize vuvuzela la humu !
Wanaume ndio wazini ,wanawake eti fukuza ,wanajua kwa nini umemsamehe mkeo au ndo unafiki tu !
Lea mimba ,na mtoto atakuwa wako,labda kama huna future na huyo mkeo .
 
Dah inabidi niache kuingia hili jukwaa maana nahisi sitakuja kuoa aisee. Yani mke wako anakazwa we unachukulia poa tu.. Eti hasimamishi vizuri??? Wtf????
 
Mke wako kakuzoea sana anapata wap ujasili wa kukwambia kabisa et jamaa hasimamishi vzuri ushalishwa limbwata ww shtuka mambo gani yakipuuz hayo unayofanya
 
uyo mwanamke hakufai na mimba juu umeletewa ata kama kuchapiwa ni siri ya ndani ya kwako imezidi pole lkn
 
Hasimamishi vizuri halafu kampelekea?? Ngastuka Machale Kundesa.
Mimi nafikiri mleta mada ndiye asimashi sawasawa na siye huyo hawara!!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Aiseeeee wanaume wa siku hizi sijui tupoje tupoje yaani hapo mambo yapo wazi kabisa kuwa mkeo aligongwa na hawara yake alafu mnasuluhishwa na wewe unakubali

siku mbili anakwambia kuwa ana mimba yako alafu unakuja kulia lia humu kuomba ushauri

Timua huyo ni malaya sio mke...mambo mengine hayaitaji kabisa kupeana ushauri yaani umenikera kuliko Magufuli aaaaaarg
yani mkuu kama tulikuwa wote vile wakat wa kusoma ..
maana nilivyosoma kagongewa ,,nikarudi juu kuhakiki ni mchumba au mke ..nikakuta mke wa ndoa..nikakosa nguvu kabisa..ya kuendelea..
kwko mgongewaji,,,
pole kwa yaliokukuta...hiyo siyo mimba yako..cha msingi muishi tu kienyeji enyeji ila wewe tafuta kaboch kabich kajengee future afu force kingi kakuzalie..ilo lupo umo ndani ni kaz..
 
ila kuna wadada wababe mamaee..
hahahaha...
ichi kichaa changu mbona siwapatagi awa..yani napataga wakina mama teresa tuu...
nataka nipate minganga kama hii tuoneshane ukichwa maji mamaeee
 
Wanaume wa kweli sijui wameliwa na mdudu gani!? Huyu nae analialia hapa! Ilibidi uchapwe mijeredi kumi kila asubuhi ukiamka hiyo itarudisha akili yako![emoji16]
 
ila kuna wadada wababe mamaee..
hahahaha...
ichi kichaa changu mbona siwapatagi awa..yani napataga wakina mama teresa tuu...
nataka nipate minganga kama hii tuoneshane ukichwa maji mamaeee

Ukikutana nae atajifanya mama teresa! Au lah mtaachana mchana kweupe! Maana wote mtakuwa pwagu na pwaguzi![emoji16]
 
Kwakuwa ulitambua fika kuwa umegongewa na ww ulisamehe basi hata hyo mimba msamehe ww lea tu ... Yawezekana huyo mtoto atakuwa na akili ktk ukoo wenu maana navyokuona ww naona kabisa hazikutoshi
 
Hapo inaonekana mkeo kaona wewe una tatizo la kutompa ujauzito kwahyo kampelekea jamaa asiedindisha ili asimamie kucha na matokeo ni mkeo kapata pointi 3 mechi ya ugenini


N.B: Inaonekana mkeo alimaanisha kuwa wewe ndo husimsmishi ndo mana humpi mimba ila sio jamaa aliekuchapia
 
yani kaendakukesha af eti haisimami...yani wewe siju tukushauri nini....
 
Sijui jamaa una roho ya Kigadaffi!!

Yaani una roho ngumu zaidi ya mhudumu wa mochwari!

Mwanamke ana kuambia jamaa aliyekutana nae hasimamishi mzingo hahaha dah! Kama hasimamishi alienda kuchukua nini huko?

Wee bro chukua maamuzi magumu zaidi ya yale ya Lowasa kuhamia Chadema!

Piga chini fanya uteuzi mwingine ASAP
Mkuu hapa maamuzi magumu ambayo jamaa amechukuwa ni kuendelea kuishi na huyo mwanamke. Hakuna magumu zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom