Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Unaweza kuwa wako au wa huyo mwingine.

Kifupi mke wako hakupendi na wala hataki kuzaa na wewe, mwanamke anayempenda mume wake na kupitia hayo yote hasingesafiri wakati mzuri wa kupata mimba na kwenda kulala na mwanaume mwingine.

Wewe hauna kitu hapo, pole sana kea hili. Sababu ni kwamba hakuna mwanamke anayemoenda kumewr narudia tena atafanya aliyokufanyia.

Pia amekudanganya na kukufanya mjinga sana, kwa kukuambia huyo mume mwenzako hasimamishi. Ni uongo anakujua akajua hautauliza tena, sababu unahamu ya kupata mtoto ndio kakudanganya na kutenda hayo. Labda pia tangu umuoe amekuwa anakudanganya.

Kuna wanawake siku hizi wanaolewa tu ili kujiwekea heshima, huku wakiendelea matendo mabaya na wanaume ambao hawawezi kuoana. Wengi wanakuwa waume wa watu au wasiotaka kujiharibia heshima.

Narudia tena hauna mke na pole sana, nimesikitika sababu naonaga wengi wanaotafuta watoto na wanaume wengi wanaendaga nje kuzaa na michepuko. Ila wewe umemvumilia na anatenda hayo.

Huyo anataka kuzaa na mume mwenzako, I mean na huyo beana wake na sio wewe.

Yaani mimba yaweza ikawa yako au sio yako, mbegu za mwanaume uendelea kukaa ndani ya mwanamke ikielea kusaka yai hata siku moja mbiki yaweza dumbukia.

Mwanamke ugundua ana mimba anapo miss period na wengine period yaweza kuja kutoka wakati wameshika mimba.

Mimi sio mjuzi wa kuandija mengi, ila nikiguswa naandika. Tafuta kwanamke mwingine, hafai iuwa mke. Utabarikiwa watoto na mwingine kama huyo wako utalea ukipima DNA, mpe uhuru aende.kwa mchepuko wake. ataisoma namba hakufai tupilia mbali, tabia mbovu sana kama hakupendi na hataki kuzaa na wewe angekuambia tu.
 
Aiseeeee wanaume wa siku hizi sijui tupoje tupoje yaani hapo mambo yapo wazi kabisa kuwa mkeo aligongwa na hawara yake alafu mnasuluhishwa na wewe unakubali

siku mbili anakwambia kuwa ana mimba yako alafu unakuja kulia lia humu kuomba ushauri

Timua huyo ni malaya sio mke...mambo mengine hayaitaji kabisa kupeana ushauri yaani umenikera kuliko Magufuli aaaaaarg
Hata mimi ningefanya hivyo
 
Ukweli ni kwamba hakutaka kuzaa na ww na ndio maana adi kalazimisha kwenda kumpa anae taka kuzaa nae, ukiendelea kuishi nae unatakiwa ukapimwe akili
 
Mmh !mapenzi ni yenu na maamuzi ya kuacha mke au kuendelea ni yako binafsi ,usisikilize vuvuzela la humu !
Wanaume ndio wazini ,wanawake eti fukuza ,wanajua kwa nini umemsamehe mkeo au ndo unafiki tu !
Lea mimba ,na mtoto atakuwa wako,labda kama huna future na huyo mkeo .
Huyo ni wa kupiga makofi na kufukuza au unaongeza mke wa pili

Eti anaaga anaondoka kisha anakuambia mume eti hawara mwenyewe hata hasimamishi wtf huyo ni wa kupigwa maigeli ,
 
Hasimamishi vizur angekutoroka bhoc mambo mengine hayaitaji elim wala ushauri
 
Habari Wakuu.!
Naamini ni wazima wa afya
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Ndug zangu Nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lkn mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lkn bado ikawa bado mtoto kupatikana!

Sasa kufikia tar 20/08/2016 tukashauriwa tumuone Dr. Fulan hivi ni mtaalamu wa wanawake na alikuwa amesaidi wengu tu
Tareh hiyo hiyo mke wangu alikuwa kwenye siku zake ndo ilikuwa inaanza alipewa dawa za siku 5 kila mwez atapoingia bleed lkn kuanzia alipoanza kutumia hizi dawa kulikuwa na madiliko ktk mwili wake uke unakuwa na Ute wa kutosha wakati wa kukutana na wife, na Dr kutokana tareh hizo alizoingia Bleed akatueleza kuwa kuanza Tar 01-05/09/2016 tuanze kukutana na mke wangu kwani si siku nzuri za kupata ujauzito

Sasa hapa Naomba wataalamu kuhesabu tarehe za mwanamke kushika Mimba wachukue nafas hasa huu wa siku 28
Kufika tareh 29 au 30/08/2016 nakumbuka nilikutana na mke wangu usiku kwa furaha tu

Lkn kufika tareh 02/9 jioni mke wangu aliniomba ruhusa ya msiban lkn sikumjibu chochote ili badae kidogo niombe chakula ya usiku nikapewa lkn si kwa furaha kiviile kama alinitengea tu nilipomaliza nikampa nibu kuwa hakuna kwenda msiban lkn asubuh aliondoka kienyeji tu na akasafiri akaenda mkoani kwa Hawara yake aliyekuwa anachat naye kwa siri sana

Akaenda akalala naye{inauma} huko jumamos kuamakia jumapil jion ndo akaingia home nilimbana sana aeleze alipokuwa alikataa kusema japo tayar nilishajua kama wiki hivi alikubali baada ya ugomvi mkubwa sana tukasuluhisha nimamsamehe
Lkn baada wiki mbili alikuwa mjamzito lkn aliogopa kusema mojamoja kwangu mpka siku ya 3 ndo kuniambia na mimi nikakataa na kumuuliza hii mimba ya nani? Anajibu yangu nikauliza kwann na kipivip? Ooh yule mwanaume hasimamishi vizur{inauma}

Sikukubali tareh 22/10/2016 tukaenda kuchek ultrasound ili nijue kama inaweza ku-calculate mimba hii ni ya siku ngapi lkn majibu ujauzito ni wa 7weeks na siku kadhaa

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri ujauzito huu ni wa Nani au nifanye Nini?

Nipo njia panda ndugu yenu sina majibu kabisa pls plz

Samahan kama nimechanganya au sijaeleweka sehemu maana natumia simu kuandika

Asante
 
ina 7 weeks na cku alizoenda hazlingan na mda huo ni ya kwako au uje ujalibu DNA ingawa nackia ni gharama
 
Mtoto akizaliwa.. fanya utaratibu wa kupima dna... ili ubishi uishe
 
Aiseeeee wanaume wa siku hizi sijui tupoje tupoje yaani hapo mambo yapo wazi kabisa kuwa mkeo aligongwa na hawara yake alafu mnasuluhishwa na wewe unakubali

siku mbili anakwambia kuwa ana mimba yako alafu unakuja kulia lia humu kuomba ushauri

Timua huyo ni malaya sio mke...mambo mengine hayaitaji kabisa kupeana ushauri yaani umenikera kuliko Magufuli aaaaaarg
Chagua moja kati ya haya. 1. Kubali tu kulea mtoto ambaye si damu yako maana nakuhakikishia kwa 1000000000000% hiyo mimba si yako.

2. Achana naye kama haupo tayari kwa ushauri namba 1.

UACHE UJINGA. UNADHALILISHA WANAUME, HILI UNGEAMUA MWENYEWE BILA HATA KUJA HUKU
 
Aiseeeee wanaume wa siku hizi sijui tupoje tupoje yaani hapo mambo yapo wazi kabisa kuwa mkeo aligongwa na hawara yake alafu mnasuluhishwa na wewe unakubali

siku mbili anakwambia kuwa ana mimba yako alafu unakuja kulia lia humu kuomba ushauri

Timua huyo ni malaya sio mke...mambo mengine hayaitaji kabisa kupeana ushauri yaani umenikera kuliko Magufuli aaaaaarg
Mimi niliposoma thread hii nilijikuta natupa ngumi hewani
Habari Wakuu.!
Naamini ni wazima wa afya
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Ndug zangu Nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lkn mpaka mwaka huu ikawa imeshindikana bila mimi kuwa na shida yoyote na yeye mke wangu alikuwa na matatizo madogo dogo (majibu ya hosptal) ambayo tulishasolve lkn bado ikawa bado mtoto kupatikana!

Sasa kufikia tar 20/08/2016 tukashauriwa tumuone Dr. Fulan hivi ni mtaalamu wa wanawake na alikuwa amesaidi wengu tu
Tareh hiyo hiyo mke wangu alikuwa kwenye siku zake ndo ilikuwa inaanza alipewa dawa za siku 5 kila mwez atapoingia bleed lkn kuanzia alipoanza kutumia hizi dawa kulikuwa na madiliko ktk mwili wake uke unakuwa na Ute wa kutosha wakati wa kukutana na wife, na Dr kutokana tareh hizo alizoingia Bleed akatueleza kuwa kuanza Tar 01-05/09/2016 tuanze kukutana na mke wangu kwani si siku nzuri za kupata ujauzito

Sasa hapa Naomba wataalamu kuhesabu tarehe za mwanamke kushika Mimba wachukue nafas hasa huu wa siku 28
Kufika tareh 29 au 30/08/2016 nakumbuka nilikutana na mke wangu usiku kwa furaha tu

Lkn kufika tareh 02/9 jioni mke wangu aliniomba ruhusa ya msiban lkn sikumjibu chochote ili badae kidogo niombe chakula ya usiku nikapewa lkn si kwa furaha kiviile kama alinitengea tu nilipomaliza nikampa nibu kuwa hakuna kwenda msiban lkn asubuh aliondoka kienyeji tu na akasafiri akaenda mkoani kwa Hawara yake aliyekuwa anachat naye kwa siri sana

Akaenda akalala naye{inauma} huko jumamos kuamakia jumapil jion ndo akaingia home nilimbana sana aeleze alipokuwa alikataa kusema japo tayar nilishajua kama wiki hivi alikubali baada ya ugomvi mkubwa sana tukasuluhisha nimamsamehe
Lkn baada wiki mbili alikuwa mjamzito lkn aliogopa kusema mojamoja kwangu mpka siku ya 3 ndo kuniambia na mimi nikakataa na kumuuliza hii mimba ya nani? Anajibu yangu nikauliza kwann na kipivip? Ooh yule mwanaume hasimamishi vizur{inauma}

Sikukubali tareh 22/10/2016 tukaenda kuchek ultrasound ili nijue kama inaweza ku-calculate mimba hii ni ya siku ngapi lkn majibu ujauzito ni wa 7weeks na siku kadhaa

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri ujauzito huu ni wa Nani au nifanye Nini?

Nipo njia panda ndugu yenu sina majibu kabisa pls plz

Samahan kama nimechanganya au sijaeleweka sehemu maana natumia simu kuandika

Asante
 
Kaka;
Naomba kutofautiana na wengi ka sio wote waliokushauri. Kwanza pole zangu kibao kwako kwa yalokupata. Pili, elewa kuwa hakuna mwanamume mwenye uwezo wa kusema wazi kuwa watoto hawa ni wangu. Tumefika pahala pa kusema; Kitanda hakizai kharam!! Upo hapo?? Maudhi huja pale mama mnakorofishana anakuambia; Usimgombeze mtoto wangu huyu, hujui nilivyo mpata miye. Ndo unaanza kuwaza, moja na moja ikawa 10.
Nakuomba, angalia maelewano yako na mkeo. Amekuvumilia muda mrefu saana tu kuhusu mtoto uliyeshindwa kumpatia. Sasa akafika pahala akaamua kujaribu nje ya ua. Akafanikiwa, sasa amerudi home na kukuambia mtoto mtarajiwa ni wako. Swali la kujiuliza, Je, unayo nguvu ya kufyamba?? Kama huna nguvu, vumilia ila mwombe kuwa, akizaliwa awe ndo wa mwisho kwenu. Mtakuwa mnahesabiwa kuwa mlizaaga mtoto mmoja. Ng'oa kizazi chake kabisa kabisa. Akubali hivyo kinyume na hapo atakuletea tena mwingine. Umeshajua wazi kuwa huna uwezo wa kumfyamba sasa ya nini kuendeleza ukoo usio wako??
Pili, akizaliwa mtoto, aandikwe jina lako, tuone ka atajitokeza kidume kuja kusema ni wake. Mambo haya yanahitaji uvumilivu kwani wewe unajua wazi kuwa huna nguvu ya kuleta kiumbe duniani. Sasa, kuficha aibu, pokea huyo mmoja tu na asije tena mwingine. Huyo mama akitaka kuendeleza kwa nguvu, jua hana jema na weye. Na uhusiano na jamaa yake akuhakikishie utakoma kabisa.
 
yani mkuu kama tulikuwa wote vile wakat wa kusoma ..
maana nilivyosoma kagongewa ,,nikarudi juu kuhakiki ni mchumba au mke ..nikakuta mke wa ndoa..nikakosa nguvu kabisa..ya kuendelea..
kwko mgongewaji,,,
pole kwa yaliokukuta...hiyo siyo mimba yako..cha msingi muishi tu kienyeji enyeji ila wewe tafuta kaboch kabich kajengee future afu force kingi kakuzalie..ilo lupo umo ndani ni kaz..
Hawa ndio wanaofanya wanaume tuonekane hatuna maana....Maana huyu kaolewa
 
Nawashukuru kwa Maonu yenu.
Nafuatilia vizuri kabisa mjadala huu!!
 
Bila samahani, sijaoa, ila mtarajiwa wangu nilishamwambikabisa. Sina urafiki na usaliti na huwa sibadili maamuzi nikishafanya, nikigundua kwa namna yeyote clue za usaliti ndio kwa heri.

Hongera kwa uvumilivu ulionao. Unastahili kupewa tuzo na CCM
 
Back
Top Bottom