Ndugu zangu naombeni ushauri

Tatizo lako unafosi kupendwa, acha.
punguza shobo kadri unavyozidi kumtafuta ndio unavyozidi kumfukuzia mbali ila wewe unaona kama unampambania awe karibu.
Kaa kimya endelea na maisha yako na usijisumbue kumhudumia tena.

Umejishusha sana kwa huyo Ke na amejua ndio maana anakufanya na kukwambia chochote bila kujali na bado hela zako anakula.
 
Ulipokosea hapo ni Kumuambia unampenda bila ya Sex.

Umetibua mafile yote. Na hayo ndiyo matokeo yake. Wewe omba papuchi, chakata suuza roho kisha endelea na maisha yako.

Rika lako si la kulilia mapenzi. Bali la kunoa kitombeo. Unafeli wapi?????
 
Me naona mblock huyo bint tofauti na hivo mdogo angu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwandiko wako na wake unaonyesha nyie bado sana kufikia kuelewana kuishi pamoja kama mke na mume. Bado mna utoto mwingi.

To me;
1. Muda ni muamuzi mzuri sana wa hatma yenu. Ukizingatia bado unasoma, take your time. Concentrate kwenye shule kwanza hayo mengine yaache kwa sasa, baadaye utayakuta tu.

2. Unatumia material things kujaribu kumshawishi akukubalie ukitakacho. Kumbuka, hutakuwa na uwezo huo wa kukidhi mahitaji yake kila wakati. Kuna saa utakuwa huna. Sasa siku ukishindwa ndo utajua rangi zake halisi. Mshawishi kwa tabia na mienendo yako.

3. Huyo msichana, pamoja na mwandiko wake kuwa hivyo, inaonyesha amesema ukweli wake halisi. Lakini wewe huutaki ukweli huo. SIku akifanya tofauti na matarajio yako utamlaumu KWA KUMUONEA TU.

KWA SASA PIGA SHULE KWANZA
 
Soma, tafuta pesa kwanza. We bado kijana mdogo utapata mwingine akupendaye. Mtangulize Mungu. Mapenzi yapo kamanda
 
Natamani angekuelewa...
Sema naona bado yupo kwenye dimbwi la mapenzini..
 
Hiyo miandiko ni ya wanafunzi wa chuo kweli?any way kijana likuepushalo lina heri na wewe,achana na uyo mwanamke angali ikiwa mapema,haupedwi,usilazimishe,wanawake wako wengi
 
umesha fanya nae sex mara ngapi tangu uwe nae, then ntakushauri kitu mkuu?
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya
Jamaaa boya sana wewe
 
Jamaa wewe Kila siku ni kuomba ushauri
 
Hawa ndo wataalamu wa haya mambo,nakuomba hii comment ya National Anthem nayo uibold uwe unaisoma kila mara

NGoja na mimi niongeze yangu kidogo,ni hivi kamwe mwanamke wa kuoa ambae unataka awe mkeo hutakiwi kutumia nguvu nyingi,maana ukitumia nguvu nyingi kwenye uchumba hakika hata kwenye ndoa utateseka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…