Ndugu zangu naombeni ushauri

Ndugu zangu naombeni ushauri

Tatizo lako unafosi kupendwa, acha.
punguza shobo kadri unavyozidi kumtafuta ndio unavyozidi kumfukuzia mbali ila wewe unaona kama unampambania awe karibu.
Kaa kimya endelea na maisha yako na usijisumbue kumhudumia tena.

Umejishusha sana kwa huyo Ke na amejua ndio maana anakufanya na kukwambia chochote bila kujali na bado hela zako anakula.
 
Ulipokosea hapo ni Kumuambia unampenda bila ya Sex.

Umetibua mafile yote. Na hayo ndiyo matokeo yake. Wewe omba papuchi, chakata suuza roho kisha endelea na maisha yako.

Rika lako si la kulilia mapenzi. Bali la kunoa kitombeo. Unafeli wapi?????
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana,
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu.
Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane,
Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌

Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad

Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu.
Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Naombeni ushauri apo,
Kuna mengi japo si mazuri nimeyaficha kwenye Uzi huu, aliyo fanya lakn Bado na mpenda sana
Me naona mblock huyo bint tofauti na hivo mdogo angu 😂😂
 
Mwandiko wako na wake unaonyesha nyie bado sana kufikia kuelewana kuishi pamoja kama mke na mume. Bado mna utoto mwingi.

To me;
1. Muda ni muamuzi mzuri sana wa hatma yenu. Ukizingatia bado unasoma, take your time. Concentrate kwenye shule kwanza hayo mengine yaache kwa sasa, baadaye utayakuta tu.

2. Unatumia material things kujaribu kumshawishi akukubalie ukitakacho. Kumbuka, hutakuwa na uwezo huo wa kukidhi mahitaji yake kila wakati. Kuna saa utakuwa huna. Sasa siku ukishindwa ndo utajua rangi zake halisi. Mshawishi kwa tabia na mienendo yako.

3. Huyo msichana, pamoja na mwandiko wake kuwa hivyo, inaonyesha amesema ukweli wake halisi. Lakini wewe huutaki ukweli huo. SIku akifanya tofauti na matarajio yako utamlaumu KWA KUMUONEA TU.

KWA SASA PIGA SHULE KWANZA
 
Soma, tafuta pesa kwanza. We bado kijana mdogo utapata mwingine akupendaye. Mtangulize Mungu. Mapenzi yapo kamanda
 
Mwandiko wako na wake unaonyesha nyie bado sana kufikia kuelewana kuishi pamoja kama mke na mume. Bado na utoto mwingi.

To me;
1. Muda ni muamuzi mzuri sana wa hatma yenu. Ukizingatia bado unasoma, take your time. COncentrate kwenye shule kwanza hayo mengine yaache kwa sasa.

2. Unatumia material things kujaribu kumshawishi akukubalie ukitakacho. Kumbuka, hutakuw na uwezo huo wa kukidhi mahitaji yake kila wakatai. Sasa siku ukishindwa na utajua rangi zake halisi. Mshawishi kwa tabia na miendendo yako.
Natamani angekuelewa...
Sema naona bado yupo kwenye dimbwi la mapenzini..
 
Hiyo miandiko ni ya wanafunzi wa chuo kweli?any way kijana likuepushalo lina heri na wewe,achana na uyo mwanamke angali ikiwa mapema,haupedwi,usilazimishe,wanawake wako wengi
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana,
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu.
Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane,
Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌

Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad

Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu.
Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Naombeni ushauri apo,
Kuna mengi japo si mazuri nimeyaficha kwenye Uzi huu, aliyo fanya lakn Bado na mpenda sana
umesha fanya nae sex mara ngapi tangu uwe nae, then ntakushauri kitu mkuu?
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya
Jamaaa boya sana wewe
 
Jamaa wewe Kila siku ni kuomba ushauri
 
Mie nikiwa na miaka 22 sikuwa nimewahi hata kushika chuchu ya mwanamke, nilikuwa busy na kitabu.. kwa mala ya kwanza nimekula papuchi na miaka 29.

Cha kwanza focus na kitabu mkuu, mapenzi yapo kama unataka mke bora wapo wengi ni swala la mda na wakati sahihi ambao Mungu atakufungulia mlango.

Kuota amevalishwa pete kwenye ndoa ni hatari kwake, ( kiroho hilo ni agano la ndoa na roho aliyo iona a.k.a spiritual husband ) , kwakuwa nyie ni CSIFETA piga fire kumuokoa na hilo ( wazo langu n uzoefu wangu ).

Mwisho kama una mpenda na unaona kama pumzi yako sikiliza, ila jiandae kuumia, mapenzi hayalazimishi, mapenzi huwa lazima yaingiliane kwa wote wawili bila hivyo utateka sana..
Hawa ndo wataalamu wa haya mambo,nakuomba hii comment ya National Anthem nayo uibold uwe unaisoma kila mara

NGoja na mimi niongeze yangu kidogo,ni hivi kamwe mwanamke wa kuoa ambae unataka awe mkeo hutakiwi kutumia nguvu nyingi,maana ukitumia nguvu nyingi kwenye uchumba hakika hata kwenye ndoa utateseka tu
 
Back
Top Bottom