Ndugu zangu naombeni ushauri

Ndugu zangu naombeni ushauri

KOSA LAKO KUBWA LILIKUWA HILI HAPA
baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kijana alijidefense hajui kua hao walokole casfeta show znatembea kama Kawaida kimya kimya😅😅
 
At that age ndio first love experience unapata so you are so innocent bola kujua pengine mwenzako tayari ni gwiji..
Haya ndio mapenzi na wewe utakuja kupendwa na binti ambaye hutampenda
Ivi inakuaje hii hali mtaalamu kupendwa na binti usiemkubali na maamuzi gani yatumike mkuu!?
 
Ukitongoza mwanamke hata Kama upo kwaajiri ya malengo mpaka kufikia ndoa usimwambie hizo habari utaki sex eti upo kwaajiri ya malengo nooh namna ya utongozaji ni uleule ila usiseme hauko kwa sex hayo mambo ya kutokuhitaji sex ayaseme mwanamke huko mbele.....01

02....Unawezaje kumoenda mwanamke ambae hajawai kukupa attention, binafsi mpaka nimoende mwanamke yaani ile kufikia level kuja kufikia kuja kuandika uzi Kama huu lazima awe nilimpa attention na yeye akanipa attention, kunijari, romances na moments hizi ndio huwa zina run kichwani na kufanya mtu umpende mpaka wengine walio na moyo mdogo wakiachwa wanakuwa na mawazo Sasa wewe unasema hajawai kukupa attention, kuanza kukutumia sms, care wala hakuna moments zozote za kimapenzi ambazo zinaweza kuwa stored kwenye Ubongo ULIWEZAJE KUMPENDA, KIPI KIMEKUFANYA KUMOENDA ??

Personal, mwanamke nikimtongoza mala moja akikataa Basi au kana naona ananifaa Sana nitakumbushia mala ya pili akikataa Basi, endapo amekubali Nina siku 4 mapaka 5 za kuanza Mimi kumtumia SMS ndani ya siku hizo namsoma kama ataanza yeye kutuma sms zikifika siku 6 haanzi yeye kutuma SMS penzi linakufa au Kama nilikuwa na malengo nakuweka Kama demu tu wakupoa.

Mkuu inabidi mwanamke awe na hisia na wewe aisee unawezaje kupenda asiye na hisia na wewe
 
UNAMLAZIMISHA MWANAMKE AKUPENDE?? yani huyu mwanamke hata umpe nini hawezi kukupenda utaishia kula hela zako tu na hutaambulia hata kiss na ubaya mwisho wa siku unaweza fikiria kumlipa ubaya maana kashakula vyako vingi ndo yale mnafikiria kuua wadada wa watu.
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.

Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.

Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.

Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.

Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana.

Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane, Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

[emoji419][emoji419] Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms[emoji419][emoji419]

"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"

"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."

"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Wakuu hizo apo ni baadhi ya sms zake, kiukwel roho Ina niuma Saba sijui ni fanye nini, sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Na. Kuna baadhi ya mambo sipend kuyasema alishafanya kipind tupo kwenye mahusiano mm nikavumila sita ya SEMA.

Kaka, dada, baba na mama zangu naombeni ushauri wenu.
Apo
Ushauri wa nn wakati kashakuambia hakutaki dogo soma mapenzi baadae
 
Mwalimu kubali ukweli huyo binti hakupendi na keshakwambia ila unajikuta wewe ndie unayejua kupenda sana. Kuwa makini usijeishia kuua
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana,
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu.
Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane,
Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

[emoji419][emoji419] Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms[emoji419][emoji419]

Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad

Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu.
Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Naombeni ushauri apo,
Kuna mengi japo si mazuri nimeyaficha kwenye Uzi huu, aliyo fanya lakn Bado na mpenda sana
Kwa hiyo papuchi yake hujaila hata mara moja??
 
Wanaokuambia sijui soma kwanza achanaaa nao

Wanaokuambia mapenzi utayakuta pia achana nao mapenzi yenyewe ndio hayo hayo

Wanaokuambia utoto hata wenyewe walipitia na wengine wanawake ukiwaendea vizuri wanakuvulia chupi

Miaka 22 ya leo sio ya miaka ile

Elimu ya leo sio ile ya kukamia ya miaka ile

Piga shule, piga papuchi

Ila acha ufala huyo dem piga chini, anakutumia

Vuta pisi ule maisha
 
Achana na watoto wa juzi, njoo nikuvutishe bange, upate akili yako, usiubiri ushauri kwa watu. 🚬🚬

.... weed smoker....
 
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana,
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu.
Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane,
Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌

Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad

Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu.
Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Naombeni ushauri apo,
Kuna mengi japo si mazuri nimeyaficha kwenye Uzi huu, aliyo fanya lakn Bado na mpenda sana
Mm nitakushauri,lkn nijibu swali moja,ulishawahi kupiga mashine au ulileta ulokole mwingi?

Kama umeshakula mzigo nna cha kukushauri.

Kama hujawahi l,piga we kaza moyo,songa mbele na wewe utakuwa bwege tu na kenge.
 
mma
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.

Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.

Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.

Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.

Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana.

Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane, Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.

📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌

"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"

"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."

"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."

"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "

"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"

"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"

Wakuu hizo apo ni baadhi ya sms zake, kiukwel roho Ina niuma Saba sijui ni fanye nini, sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Na. Kuna baadhi ya mambo sipend kuyasema alishafanya kipind tupo kwenye mahusiano mm nikavumila sita ya SEMA.

Kaka, dada, baba na mama zangu naombeni ushauri wenu.
Apo
maisha ya walimu wa sekondari ni magumu kiasi ni kazi nzuri zaidi kwa wanawake , fikiria kuondoka kwanza kwenye taaluma hiyo Kisha anza kufikiria mapenzi .Huyo dada nurse hana uhakika wa maisha.
 
Back
Top Bottom