Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

Upo mkoa gani?? Ningekuelekeza kwa mabinti wacha Mungu wanao sali kwaajili hiyo hiyo. Ni waadilifu wenye nia na dhamira safi.. Uniniulize nimejuaje.. Nina maanisha ninachosema.. Wamelelewa kwa malezi bora.
😀mkuu weka connection
 
Kila la kheri mkuu.

Ila umri 18 - 25 halafu awe hajawahi kutumia vidonge vya kuzuia mimba ni nadra kwa Dunia ya sasa. Wapo lakini ni kutafuta kwa tochi
Njoo nikuonyeshe watano tu kwanza ninaowajua😂😂😂 hawajui hata p2 zina fananaje.
 
Duuuh weka link mkuu
Link tena ndugu.. Hao ninawaheshimu na kuwapenda, tunawaombea daima wapate wenzi wema maana na wao kutokana na malezi bora ya kijamii na kiimani wanakusudua kuwa wake bora na wema. Kwa wale wenye nia njema wanione faragha.. Nitawapa mawasiliano.. Lakini nipo tayari kuwapokea kama wageni wangu endapo watataka kuonana au kuwaona wahusika ili waamue wenyewe kama mioyo yao inavutiwa nao.
Maana ndoa ni jambo takatifu sana. Ndoa ni mpango wa Mungu. Atamaniye ndoa atamani jambo takatifu na la kicho.
 
Ndugu zangu mimi ni kijana miaka 32+, sina mtoto,mkristo na mpambanaji.

Natafuta mwanamke wa kuoa

*Asiwe na mtoto au kutoa mimba au kutumia dawa za uzazi wa mpango

*Awe mke mwema kwangu

*Mama bora kwa watoto Mungu atakao tujalia

*Awe na umri wa miaka 18-25

*Awe mvumilivu maana maisha ni kupanda na kushuka na asiwe na tamaa mbaya

* Asiwe na tatoo , asiwe katiboa masikio zaidi ya mara mbili, asiwe katoboa pua au kitovu, asiwe mfuasi wa nywele na kucha bandia

* Awe anajipenda yeye na kujikubali jinsi alivyo kwani napenda mwanamke natural

*Awe mkristo ila kama ni muislam akubali kufata upande wangu .

Nimeamua kutafuta na hapa maana naamini waliopo mtaani pia wapo hapa, hata wazazi , marafiki na ndugu zao wapo hapa kama mtaguswa msisite kutuunganisha

Karibuni ..

Asanteni
Nenda pale Mwenge kwa Bishop. Kakobe utapata mkuu
 
Umepata
 
Unatafuta wake cyo mke yaani asiwe na mtoto alfu asitumie njia za uzazi wa mpango Wala asiwe ametoa mimba hzi sifa za wanawake watatu tofauti ila Kila la kherii😂😂😂
 
Mtapigwa na kitu kizito huyu sio muoaji maan nyuzi zake za kihuni
Mimi ni muoaji na nipo serious kuoa, usiangalie nyuzi zangu na wala usiisemee binafsi yangu.. sipo kama unavyo ni fikiria nipo serious natafuta mke mwema mwenyesifa tajwa hapo juu. Wanaonifahamu wapo humu na wenye mawasiliano na mimi wapo humu pia wananijua fika nilivyo
 
Unatafuta wake cyo mke yaani asiwe na mtoto alfu asitumie njia za uzazi wa mpango Wala asiwe ametoa mimba hzi sifa za wanawake watatu tofauti ila Kila la kherii[emoji23][emoji23][emoji23]
Naamini nyupo mmoja wao ninae mtaka wa namna hii
 
Back
Top Bottom