Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu kaza buti utampataHuyo huyo wakutafuta kwa tochi ndiye ninaye mtaka hakika..
Hongera sanaMimi ni mpambanaji nampaka na tafuta mke maana yake najua wajibu wangu kwa mke na famikia kama mume, baba, kiongozi na mwanaume asiyekwepa kuwajibika.
Nawaza tu hapa! Hivi ukimpata huyo mwanamke, utajuaje kama hajawahi kutoa mimba au kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?Ndugu zangu mimi ni kijana miaka 32+, sina mtoto,mkristo na mpambanaji.
Natafuta mwanamke wa kuoa
*Asiwe na mtoto au kutoa mimba au kutumia dawa za uzazi wa mpango
*Awe mke mwema kwangu
*Mama bora kwa watoto Mungu atakao tujalia
*Awe na umri wa miaka 18-25
*Awe mvumilivu maana maisha ni kupanda na kushuka na asiwe na tamaa mbaya
* Asiwe na tatoo , asiwe katiboa masikio zaidi ya mara mbili, asiwe katoboa pua au kitovu, asiwe mfuasi wa nywele na kucha bandia
* Awe anajipenda yeye na kujikubali jinsi alivyo kwani napenda mwanamke natural
*Awe mkristo ila kama ni muislam akubali kufata upande wangu .
Nimeamua kutafuta na hapa maana naamini waliopo mtaani pia wapo hapa, hata wazazi , marafiki na ndugu zao wapo hapa kama mtaguswa msisite kutuunganisha
Karibuni ..
Asanteni
Kanisa lipo wapi mzee nikanunue suti kabisaUpo mkoa gani?? Ningekuelekeza kwa mabinti wacha Mungu wanao sali kwaajili hiyo hiyo. Ni waadilifu wenye nia na dhamira safi.. Uniniulize nimejuaje.. Nina maanisha ninachosema.. Wamelelewa kwa malezi bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda pale Mwenge kwa Bishop. Kakobe utapata mkuu