Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

Mimi ni mpambanaji nampaka na tafuta mke maana yake najua wajibu wangu kwa mke na famikia kama mume, baba, kiongozi na mwanaume asiyekwepa kuwajibika.
Hongera sana
 
Utapata. Ila wakati unawatafuta usichague kwakuangalia hali uliyonayo sasa, uangalie kesho unataka nini, utakua nani ili asije akapwaya
 
Nawaza tu hapa! Hivi ukimpata huyo mwanamke, utajuaje kama hajawahi kutoa mimba au kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?
 
Nenda Facebook hapa hupati ushaonyesha kuwa wew bado unga unga mwana [emoji120][emoji120][emoji120] ila tupambane tutapata [emoji16][emoji16]
 
Upo mkoa gani?? Ningekuelekeza kwa mabinti wacha Mungu wanao sali kwaajili hiyo hiyo. Ni waadilifu wenye nia na dhamira safi.. Uniniulize nimejuaje.. Nina maanisha ninachosema.. Wamelelewa kwa malezi bora.
Kanisa lipo wapi mzee nikanunue suti kabisa
 
Asa sikia
Kuna dada ake rafk angu sema alikua na mahusiano na kamaa hivii wakuitwa john

Kwenye trako pale kaandika trako la john

Ila ni kako natural afu pis balaa na hana mtoto

Tumwambie afute ohn ibaki J iwe yako๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ