RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
Kabisa wanaume huu ujinga mnatoa wapi? Mwanaume mzima una ask validation kwa wanaume wenzio ili iweje?I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
Zitahamia kwa mtoto wenu.Mpe Mimba , akizaa tu changamoto zote hizo zinaondoka
bro bigupJiweke kwenye nafasi yake
Halafu uachwe kwa sababu una changamoto kama hizo
Ungejisikiaje?
Hebu tuliza akili kijana,unapompenda mtu shida zake ni shida zako,maradhi anayoumwa ni ya kawaida tu ambayo yanatibika,ingekuwa ana ukimwi,au seli mundu hapo ndipo unaweza kutia mashaka.Sasa fanya ifuatavyo mpeleke hospitali kubwa akapimwe vizuri ujue hicho kifua tatizo nini,na macho ni ugonjwa au ni macho kutokuwa na nguvu ya kuona mpaka avae miwani.Utapata majibu mazuri tu na umtibu.Mtafi mnapendana basi muoe,vinginevyo atachukuliwa na mwanaume mwingine vaaaaaaaap ubaki unalialiaI hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
Ulitaka mambo ya wanaume akaulize Mama yake?Pumbavu
Kabisa wanaume huu ujinga mnatoa wapi? Mwanaume mzima una ask validation kwa wanaume wenzio ili iweje?
Yeye pia hakupenda kuwa hivyo kama una mpenda hizo changamoto ni ndogo sana kwa maana hata wewe huwezi kujua kwsho utakuwajeI hope everyone is doing well.