Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 600
- 1,527
Njia kuu ya kwanza ni kupanga vipaumbele kwa kuorodhesha mambo ya muhimu zaidi na kujifunze kusema "hapana" kwa majukumu yasiyo ya lazima ili kulinda amani yako.Maisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
Kumbe kuna njia ya kudhibiti msongo wa mawazoMaisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
Ukiwa na msongo hata usingizi hupatiNjia kuu ya kwanza ni kupanga vipaumbele kwa kuorodhesha mambo ya muhimu zaidi na kujifunze kusema "hapana" kwa majukumu yasiyo ya lazima ili kulinda amani yako.
Ni muhimu pia kutenga muda wa mapumziko wa dakika 15 hadi 30 kila siku kwa ajili yako binafsi, ukiwa mbali na simu au changamoto za kazi.
Vilevile, kufanya mazoezi ya mwili kama kutembea au kukimbia husaidia kuchochea homoni zinazoleta furaha na kupunguza msongo.
Usikae na mambo moyoni; kuzungumza na watu unaowaamini kama marafiki au ndugu husaidia kupunguza uzito wa mawazo.
La mwisho kabisa, hakikisha unapata usingizi wa kutosha wa masaa 7 hadi 8 kila usiku ili kuupa ubongo wako nafasi ya kupumzika na kujifanya upya kwa ajili ya siku inayofuata.
Kunywa bia ulale kakaMaisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
Naunga mkono hoja.Misongo yote huwa inasababishwa na ukosefu wa hela..
Hapana umedanganyaKunywa bia ulale kaka
Jaribu kufanya meditation pia inasaidia kuondoa msongo wa mawazoMaisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo.
Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
Kijiti kinasovu hii changamotoUkiwa na msongo hata usingizi hupati
Kinasovu vip,tunaomba ufafanuz kidogo mkuuKijiti kinasovu hii changamoto
Kinakupeleka kwenye free modeKinasovu vip,tunaomba ufafanuz kidogo mkuu
Nakazia hoja: Jizoeshe Kuachilia(sawa na usikae na mambo moyoni) usijibebeshe mizigo - samehe au kama ni kitu ambacho huna uwezo nacho kipotezee. Ridhika na ulicho nacho.Njia kuu ya kwanza ni kupanga vipaumbele kwa kuorodhesha mambo ya muhimu zaidi na kujifunze kusema "hapana" kwa majukumu yasiyo ya lazima ili kulinda amani yako.
Ni muhimu pia kutenga muda wa mapumziko wa dakika 15 hadi 30 kila siku kwa ajili yako binafsi, ukiwa mbali na simu au changamoto za kazi.
Vilevile, kufanya mazoezi ya mwili kama kutembea au kukimbia husaidia kuchochea homoni zinazoleta furaha na kupunguza msongo.
Usikae na mambo moyoni; kuzungumza na watu unaowaamini kama marafiki au ndugu husaidia kupunguza uzito wa mawazo.
La mwisho kabisa, hakikisha unapata usingizi wa kutosha wa masaa 7 hadi 8 kila usiku ili kuupa ubongo wako nafasi ya kupumzika na kujifanya upya kwa ajili ya siku inayofuata.
Miaka ya neema, miaka ya uharibifu | JamiiForums Tanzania Miaka ya neema, miaka ya uharibifuNakazia hoja: Jizoeshe Kuachilia(sawa na usikae na mambo moyoni) usijibebeshe mizigo - samehe au kama ni kitu ambacho huna uwezo nacho kipotezee. Ridhika na ulicho nacho.
Usijilinganishe na waliokuzidi uwezo i.e. Usitamani kuwa kama wao.
Duh! Kumbe ulishaitoa hiyo nondo May 31; 2018" Ubarikiwe mkuu.Miaka ya neema, miaka ya uharibifu | JamiiForums Tanzania Miaka ya neema, miaka ya uharibifu