Waw! Ina maana ukiwa unakata gogo taratibu (45mins) huwa umerilaksi kwa 100% sio?Tafuta maji ya moto kama jaba zima vua nguo zako oga taratibu...Jiataidi kukaa chooni kwa muda mrefu hata 45min utanishukuru badaye.....
Maisha lwa ujumla mpaka inafika muda mtu haaoni thamani ya maushaYaani ukiwa na Msongo wa mawazo Raha ya maisha utakosa, msongo ukiwa hasa wa pesa, kazi na biashara ndio balaa maana hivyo vitu vitatu ni mirija ya hewa ya uhai wako duniani...Kwanza lazima ufahamu kinachokusababishia Msongo ni kipi?...
Kumbe nyie mlirudiana tena khee