kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
Heshima kwenu jamvini...
Nisije kijana wenu nikawa nazitafuta kwa speed ndogo, hivi jamani watu wanatolea wapi pesa!?
Yaan mara huyu anajenga ghorofa, huyu ananunua gari kufuru, huyu anawachapia nazo wanawake kwenye makalii, huyu anazikamata kama anapiga simu hivi...
Nisije nikawa nimejificha huku ndani ndani sijui chochote.. nisaidieni ndugu yenu, hizi Hela zinapatikana wapi . 🤣🤣
Alamziiiiki!!