Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi.

FB_IMG_1717861158030.jpg
Najutia sana
 
Sasa hapo umevurugwa na nini? Hivi ungemuona demu wangu Halima aka chura si ungepagawa wewe
 
Hasa mechi za Yanga Chamazi, kama una gari kunja uhasibu halafu paki gari liquid.
Simba madem wengi sura ngumu. Unaweza kuishia na mama boko.
 
Back
Top Bottom