Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Hiyo TV ni ya wapi? Hawaonyeshe lig ya uengereza.Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.