Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Ndugu zangu wakristo waliosomea journalism twendeni tukajitolee bure Radio Imaan ili tuinusiru. Mtakatifu Agustino anatufundisha kuwa undugu katika ubinadamu ndio mkubwa zaidi ukifuatiwa na undugu wa ujirani, damu na imani.
 
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Aseee wengi hamlipi kodi hio sio siri,,,,,mambo mnayopenda ni magendo kwenda mbele......tena kama kuna ofisi kakaa mtu wa imani yenu basi atacheza faulo za maana kukinga kifua
 
Aseee wengi hamlipi kodi hio sio siri,,,,,mambo mnayopenda ni magendo kwenda mbele......tena kama kuna ofisi kakaa mtu wa imani yenu basi atacheza faulo za maana kukinga kifua
Wa imani yetu kutokana na dhulma ni wachache.Kama umekubali hilo linatokea basi itakuwa umekubali kuwa wakristo ndio wakwepa kodi wakubwa na ndio sababu ya kuwakandamiza waislamu kiuchumi.
 
Wa imani yetu kutokana na dhulma ni wachache.Kama umekubali hilo linatokea basi itakuwa umekubali kuwa wakristo ndio wakwepa kodi wakubwa na ndio sababu ya kuwakandamiza waislamu kiuchumi.
Si mnasema wenyewe wafanyabiashara wengi ni waislam na waajiriwa wengi ni wakristo........sasa kodi asilimia kubwa inakatwa kwa waajiriwa ,ukija kwa wafanyabiashara ndo wale wenzetu katika imani, shida inaanzia hapo
 
Kifungwe tu
Macho yenu yameelekea huko kwani kuna vipindi vya maana sana.Vinachambua mambo ya kiroho kuliko kituo chochote Tanzania.
Idadi ya watangazaji wala haipunguzi chochote kama nilivyosema hapo juu.Mambo mengi yanakwenda kimifumo.Hakuna sababu ya gharama wakati kazi inafanyika kwa ufanisi.
 
Changa pesa TV imaan isimame wacha blah blah
Sisi sio kama wale waabudu sanamu la mzungu. Wao bila hela hawasamehewi madhambi na Baba mchungaji.
Sisi kila sehemu yetu inayohusu UISLAMU tunajitolea moja kwa moja bila kutegemea malipo kwa kumbe yyt.
Nyie mnazini na kuiba Mali za Ummah wiki nzima kisha mnakwenda kudanganywa ati mmesamehewa madhambi yote kwa shs elf 5.
Mchungaji akitoka hapo kwenye maombi anakamata mwana kondoo mmoja anaenda kumtoa Pepo guest house na Kula bata kwa Raha zake

Ugalatia NI hatari kuliko saratani
 
Radio Maria ina watangazaji wengi lakini haina wasikilizaji.ni mfano wa makanisa na wanaingia humo.
Umesemaje wewe?hii ni maajabu!!!

Radio Maria mwaka jana wasikilizaji wake waliichangia zaidi ya 700mill ajabu ktk waliokuwa wanachanga wapo wenye majina ya kiislam leo unasema haina wasikilizaji?
 
Umesemaje wewe?hii ni maajabu!!!

Radio Maria mwaka jana wasikilizaji wake waliichangia zaidi ya 700mill ajabu ktk waliokuwa wanachanga wapo wenye majina ya kiislam leo unasema haina wasikilizaji?
MIL 700 zinaweza kuchangiwa na hata watu 2.
Hivyo kuhusu idadi ya wasikilizaji bado hujasema kitu hapo.
Na kama waliochangia walikuwa 10 na mmoja aitwaye Juma akachangia shi.1000 basi huyo alipatwa na huruma tu na akaamua asilipite hilo bakuli bila kutia chochote
 
Sema kwa redio nyingine ila sio redio maria,,,,,,,ina wasikilizaji na wachangiaji wa kutosha
 
MIL 700 zinaweza kuchangiwa na hata watu 2.
Hivyo kuhusu idadi ya wasikilizaji bado hujasema kitu hapo.
Na kama waliochangia walikuwa 10 na mmoja aitwaye Juma akachangia shi.1000 basi huyo alipatwa na huruma tu na akaamua asilipite hilo bakuli bila kutia chochote
Yaani wewe nahisi umechanganyikiwa radio maria iana wasikilizaji mamilioni Bora useme radio nyinge yeyote mzee utakua na tatizo la afya ya akili
 
Yaani wewe nahisi umechanganyikiwa radio maria iana wasikilizaji mamilioni Bora useme radio nyinge yeyote mzee utakua na tatizo la afya ya akili
Mimi mwenyewe sijawahi hata kuisikiliza.Wewe nawe umeamua kuamini tu kuwa ina wasikilizaji wengi.
 
Back
Top Bottom