Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Umeshanza kuongea mashudu yaudini kwamba magu ndio aliwatuma tra kwakua nimkristo
 
Jafar mponda, jamaa yangu huyu tukiishi wote Morogoro kwenye ule mtaa jirani na msikiti maarufu wa Dini moja mungu mmoja...kuna wakati tukiwasikilza akina Ustaadh Mazinge na timu yake kwenye ile mihadhara ya kipindi kile tulipigwa wote mabomu ya machozi break ya kwanza ilikuwa Chamwino 😂 😂
Hongera sana kujua break wapi
Takbiriiiiiiiii
 
Kwa hiyo taxation system imelenga kuwaumiza wafanyabiashara wa Kiislamu tu?
Nafikiri hapo unakosea.
System haiendeshwi na robot.Ni wafanyakazi ambao wengi wao ni wakristo.Wana uwezo wa kuwapendelea watu wao na kuwazamisha waislamu.
Ili kosa liitwe kosa au kodi itolewe control number inapitia hatua nyingi za maamuzi.Usipokuwa na mtu wako TRA kila tatizo lako litatolewa hizo namba mpaka utazama kwani hutaweza kulipa.
 
Yule mwingine alikimbilia Azamtv akaanzisha kipindi cha Zumari

Bwana Jafari Mponda, muimba mashairi na Qaswida
Anataka waislamu wote waimbe mashairi yake badala ya kukariri Qur'an na suna za Mtume s a w.
Bora hivyo alivyoondoka asitupotezee muda wetu.Sasa anatangaza mipira ya Azzam.Sijui Makka alikwenda kwa nia gani?
 
Acha makasiriko nae Ana familia ya kuihudumia. Tv ina katangazaji wanne tu ngoja tuwaombe radio Maria wawaazime hata watangazaji watano mkiwa fit watarudi.
 
Muislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia

Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Bila hata posho ya maji kulainisha koo kidogo n ngumuuu
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Acha UPAMBUVU basi.
Kuna watoto wamekosa fedha za matibabu alafu wewe unaleta habari za wauza binadamu kama bidhaa kwa jina WATUMWA.
 
Acha makasiriko nae Ana familia ya kuihudumia. Tv ina katangazaji wanne tu ngoja tuwaombe radio Maria wawaazime hata watangazaji watano mkiwa fit watarudi.
Radio Maria ina watangazaji wengi lakini haina wasikilizaji.ni mfano wa makanisa na wanaingia humo.
 
Sema wewe ndio hausiklizi wenzio tunasikilizia na tunaenjoy ingekua Haina wasikilizaji watangazaji hao wengi wasingekuwepo
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Uislamu hautaki kuomba omba, kama mmeshindwa fungeni hiyo TV

Taasisi za kiislamu zina upumbavu sana, shida kubwa hakuna professionalism katika hizi taasisi.

Mambo yanaenda kienyeji tu

Wafanyakazi wanajifanya watu wa dini kumbe wapigaji tu

Shida ya taasisi za kiislamu ni kuwa hazina uislamu halisi.
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Wacha ijifie tu
 
Wamwachie kituo shekhe kishki maana ana audience kubwa sana
 
Wajifunze kwa radio Maria na Tumaini. Vingine waongee na Bakhresa awape matangazo.
 
Umeshanza kuongea mashudu yaudini kwamba magu ndio aliwatuma tra kwakua nimkristo
Ndio
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Halafu nahisi ungependa uivunjie hadhi hicho kituo chenye kutoa elimu za uhakika.Kwa sababu idadi ya watangazaji hakuleti tafsiri yoyote ya maana kuhusu uzuri wa kituo.Na huwezi kujua kuna watendaji wangapi ambao hawaonekani sura zao ambao wanafanikisha matangazo hayo
Enzi hizi za kukua kwa teknolojia hakuna sababu ya kuwa na shazi la watangazaji kama ilivyokuwa kwa RTD.Wanaweza kuwepo hata 2 na kazi zikaendelea bila kusita.Mafunzo mengi yapo kwa njia ya kurekeodiwa na wachangiaji wamejaa maeneo yote ya dunia.
Kutokana na teknolojia za matangazo ya kisasa TV inapenya kila sehemu ya nchi na dunia na huwezi kuizuia.Kama kuna shida ya fedha watendaji wanaweza kuleta mipango mnyumbuliko na ikaendelea kufanya kazi daima ikitumia nyenzo za gharama nafuu.
 
Ila ndgu zangu wa KOBAZI sema mna UBINAFSI flani hivi unaowatafuna mpaka kwenu wenyewe kwa wenyewe Siamin kama mlivyo na watu wenye Hela mshindwe kusponsor hizo mtu nne yani Hiko ni kama kifamilia watu wa4 kweli
 
Muislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia

Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Kwani lazima wawe waislam?

May be hao wa kiislam hawataki kujitolea je wakiwepo wasiokuwa wa kiislam hizo nafasi hawatazimudu?
 
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
Kuna wakati mtu anaandika ujinga kiasi unamdhania kuwa chizi,ndiyo nini hiki umeandika?

Hivi unajielewa kweli wewe?
 
Back
Top Bottom